Mshana Jr, hebu achana naye huyo, njoo kwangu upate pumziko

Mshana Jr, hebu achana naye huyo, njoo kwangu upate pumziko

kama umeanza kujisifu nitagairi ntamfuata sasa me nafsi uma jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
--->>>KWI KWI KWI IMENISHANGAZA SANA THANK JF KWA KUTUNZA KUMBUKUMBU ONA SASA .....AIBUUUUU...../ 😀
 
PUMZIKO LYRICS BY LADY JAY DEE
Mwambie wataka kuja
Huru apate kuachia
Maamuzi yako upange
Bila kuwa wake upande
Huoni we wateseka?
Kwake u kama mateka
Wahitaji pumziko
Nipo kwa ajili yako
Njoo nikupe fundisho
Achana na vyake vituko
Nipo kwa ajili yako
Njoo upate pumziko
[Verse 1]
Umkalishe kitako
Sema nae taratibu
Hii nafasi ni yako
Usijitie aibu
Kwani na mimi mwenzako
Nasubiri kukutibu
Sitochoka kusubiri
Hadi unipe majibu
[Chorus]
Mwambie wataka kuja
Huru apate kuachia
Maamuzi yako upange
Bila kuwa wake upande
Huoni we wateseka?
Kwake u kama mateka
Wahitaji pumziko
Nipo kwa ajili yako
Njoo nikupe fundisho
Achana na vyake vituko
Nipo kwa ajili yako
Njoo upate pumziko
[Verse 2]
Hana mapenzi juu yako
Kwako yeye miyeyusho
Wahitaji suluhisho
Achana na vituko
Nini anataka kwako?
Muulize akueleze
Sitochoka kusubiri
Hadi unipe-unipe-unipe majibu
[Chorus]
Mwambie wataka kuja
Huru apate kuachia
Maamuzi yako upange
Bila kuwa wake upande
Huoni we wateseka?
Kwake u kama mateka
Wahitaji pumziko
Nipo kwa ajili yako
Njoo nikupe fundisho
Achana na vyake vituko
Nipo kwa ajili yako
Njoo upate pumziko
Mmh, aah, ah ah
Mmh, aah
[Chorus]
Mwambie wataka kuja (uh mwambie)
Huru apate kuachia
Maamuzi yako upange
Bila kuwa wake upande (bila kuwa wake upande)
Huoni we wateseka? (wa… teseka)
Kwake u kama mateka
Wahitaji pumziko
Nipo kwa ajili yako
Mwambie wataka kuja
Pepo la ngono toooooooooka kwa jina la Yesu.
 
Back
Top Bottom