Mshana Jr live interview on DJ sepetu show!

Mazingira niliyokulia na mambo niliyokutana nayo... Nimefaidika kwa kuufahamu ulimwengu wa giza katika kiwango cha juu mno
Unaamini katika misukule,je roho hizi huwa Na maingiliano Na binadamu walio hai!?kama ndio kivp
 
Misukule ipo ila si kwa kiwango inavyotajwa... Mwingiliano wake ni almost hakuna
Kyle kwetu unaweza kuwa umelala kisha ukasikia mfano Wa sauti ya marehemu ndugu inakuita au kukuambia ufungue mlango au ina njaa,hii ikoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…