Mshana Jr live interview on DJ sepetu show!

Nitarejea

Tuendeleee sasa =====nimerejea
Mara nyingi ndoto tuotazo tafsiri yake huja kinyume isipokuwa tu zile ndoto maono au ndoto taarifa.... Na kila ndoto hubeba tafsiri zaidi ya moja
Na kuna baadhi ya ndoto hazina maana yoyote isipokuwa ni vague memories ya matendo yetu yote kimawazo matendo na maneno
 
Kwa vipi Na mti gani nikichanganyachanganya naweza kumroga mwanamke aniwaze mm tu 24 hours!?
Mh DJ mroge malaika mweupe basi maana kapewa sekta nyeti, Halafu na mimi nikuroge uhamishie kwangu basi
 
Nitafurahi kukiwa na maswali tofauti
1. Elimu yako ni kiwango(level) gani? Umejikita kwenye fani gani?

2. Unajishughulisha na shughuli gani za kujipatia kipato

3. Unawashauri nini vijana ili waweze kujikwamua kiuchumi kulingana na wimbi la ukosefu ajira

4. Mambo/vitu gani unavipenda na hauvipendi katika maisha yako ya kila siku
 
Tafsiri yake ni mambo ya giza yasiyo na ithibati za kisayansi
...Je uchawi una faida(Kama zipo ni zepi?)

Ipi ni asili ya uchawi, je ulikuwapo tangu za uumbaji?

Mtu anawezaje kujifunza/kuacha uchawi?

Kuna uhusiano gani kati ya rangi nyekundu na nyeusi kwenye uchawi?

Last but not least ni upi mtazamo wako kuhusu uchawi je unafaa kutumika?

Karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…