Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Yaani mbn utanikabidhi kila kitu we subiriHahaha njoo uchukue limbwata uniroge!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mbn utanikabidhi kila kitu we subiriHahaha njoo uchukue limbwata uniroge!
Tafsiri yake ni mambo ya giza yasiyo na ithibati za kisayansi...Neno uchawi kwako lina maana gani?
Wakati roho inapoachana na mwili tuu... Ama damu yake inapoteswa wakati marehemu akiwa hayupo tena
Nilikuwa mocha Mungu na nimerudi kwenye ulokole wanguKabla ya kuondoka ulikua ktk khali gani? Na je usharudi upande wako wa awali?
Hapana sijui kwakweliNidokeze kuna mtu humu nataga nimkate[emoji23] [emoji23]
NitarejeaSwali langu kwa Mr mshana ni utafsiri wa ndoto niliyoota usiku wa kuamkia juzi, iko ivi nimekaa sehemu na rafiki wawili wa kike, mmoja ameshukiwa na upako wa kuombea watu lkn nikawa naonyeshwa kwamba uombeaji wake si wa kimungu coz alikuwa anaombea kwa kutumia hesabu za kujumlisha, lkn wengine hawaoni na nikaonyeshwa kwamba amekuwa tajiri, sasa muda mfupi nipo najiuliza niwe mfuasi wake au niachane nae ghafla akatokea km mtu akanambia ninfate anionyeshe njia nikamfata kweli nikaiona njia ya miguu, Mara paaa akapotea lkn wakati anapotea nikagundua hakuwa mtu ila ni kivuli cha mtu wa kiume, nikashtuka usingizini hii ndoto ina maana gani Mshana
Mh DJ mroge malaika mweupe basi maana kapewa sekta nyeti, Halafu na mimi nikuroge uhamishie kwangu basiKwa vipi Na mti gani nikichanganyachanganya naweza kumroga mwanamke aniwaze mm tu 24 hours!?
OkNitarejea
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] [emoji106]Hapana sijawahi kukiogopa kifo bali maumivu yake
MhNaomba tusitishe kwa muda nitarejea usiku.... My apology
1. Elimu yako ni kiwango(level) gani? Umejikita kwenye fani gani?Nitafurahi kukiwa na maswali tofauti
...Je uchawi una faida(Kama zipo ni zepi?)Tafsiri yake ni mambo ya giza yasiyo na ithibati za kisayansi
Unaishi wapi wewe, soma tenaMalaika mweupe yupi huyo baby!
Utaelewa tummmh! Basi mm nimepitwa baby