Mshana jr na wengine njoni huku.

Mr Equalizer

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2013
Posts
611
Reaction score
727
Nataka niagize Noah new model, lakini kuna jamaa kaniambia eti zinatumia injini ya D-4 na injini hizi watu wanazilalamikia sana. Je ni kweli Noah New modal inatumia D-4?

Hizi old model nasikia ni ngumu, ila muonekana wake siupendi ukilinganisha na New model.

karibuni watalaamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noah zote new model za kuanzia 2002-2007 zinatumia vvti engine.
kama hii hapa.

 
Ebu wajuzi mje basi, lundo la makinikia laja karibuni! Ndio, lazima nasi tujiandae kwa hili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…