Mr Equalizer
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 611
- 727
Nataka niagize Noah new model, lakini kuna jamaa kaniambia eti zinatumia injini ya D-4 na injini hizi watu wanazilalamikia sana. Je ni kweli Noah New modal inatumia D-4?
Hizi old model nasikia ni ngumu, ila muonekana wake siupendi ukilinganisha na New model.
karibuni watalaamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi old model nasikia ni ngumu, ila muonekana wake siupendi ukilinganisha na New model.
karibuni watalaamu.
Sent using Jamii Forums mobile app