Mshana Jr ndiye GOAT wa JF

Jamaa ana ID's kibao humu na hii sio mara yake ya kwanza kuanzisha thd ya kujisifia,
Thd zake nyingi ni mambo ya kufikirika tu,uchawi na ushirikina,halafu ukimpiga swali gumu hua hajibu,anawajibu wale aliowashikia akili maswali mepesi mepesi.

Acha hizo kudadadeki.
Nitakung'atraaa
 
Jf imeijua lini...? Mshanajr ni mkanda na mdini sana. Hayo yanamuondolea sifa kuu otherwise yuko poa.

I rather consider Robert Hariel.

Mkuu shukrani Sana.

Ila mshana Jr anafanya vizuri Kwa upande wake.
Labda mapungufu yake ni kushindwa kuwa mkweli. Hali inayomfanya aonekane anabusara na hekima.
.
 
Yeah hapo nakubali bila ubishi ili lipo wazi.
 
Niache hizo nishike zipi? kusifu na kuabudu pasipostahili? kua Msukule na kushikiwa akili kuamini hekaya za kufikirika? kuamini Ukichoma Chumvi ya Mawe unaondoa mikosi na kua tajiri? 😀 😀

Mtu anamaamuzi ya kuchagua chakuamini.
Ila hana uamuzi wa kuchagua Uhalisia. Uhalisia ni uhalisia tuu.

Kuna Watu wameamua kuamini Ng'ombe ni Mungu.
Lakini kiuhalisia Ng'ombe atabaki kuwa mnyama anayefugwa kwaajili ya chakula na kazi za binadamu
 
Wacha mi nitafsiri tu

Kwaio mshana ndo Mbuzi wa Jf ?

M nimetafsiri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…