Mshana Jr ndiye GOAT wa JF

Mshana Jr ndiye GOAT wa JF

Jamaa ana ID's kibao humu na hii sio mara yake ya kwanza kuanzisha thd ya kujisifia,
Thd zake nyingi ni mambo ya kufikirika tu,uchawi na ushirikina,halafu ukimpiga swali gumu hua hajibu,anawajibu wale aliowashikia akili maswali mepesi mepesi.
Sio mshirikina Wala ni mtu wakaida tu na kampambana sana . Basi
 
Salaam wakuu.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi binafsi naamini Mshana Jr ndiye member bora wa jf wa muda wote kama alivyo pele kwenye kandanda na muhammad ali kwenye masumbwi.

Huyu mwamba hana dharau wala kejeli hata kama utakuwa na mtazamo tofauti katika mada fulani au jambo fulani hutomuana akikukashifu au kukutukana kama member wengine inaonekana ni mtu mwenye busara sana.

Jinsi avowasilisha mada uchambuzi uliotulia mfano ule ushauri wake kwa SHABAN KAONEKA NA UCHAMBUZI WAKE KUHUSU ROSE MUHANDO NK INAONESHA NI MTU MWENYE AKILI SANA.

Japo watu wanasema huwa anakopi kwa watu ila sijajua huu ushauri kwa kaoneka amekopi kwa nani nadhani ni wivu tu wa Kitanzania.

MSHANA JR ULIEJAA BUSARA, HEKIMA NA AKILI NYINGI MIMI BINFSI NAAMINI WEWE NDIYE GOAT WA JF.

MWENYEZIMUNGU AKUBARIKI NA AKUPE MAISHA MAREFU ILI TUPATE MAARIFA ALIYOKUPATIA.

MWENYEZIMUNGU ATUBIRIKI WANA JF WOTE.

UZI TAYARI.
Google translator watakwambia Mshana ni mbuzi.. Ghafla sifa inakuwa tusi
 
Jamaa ana ID's kibao humu na hii sio mara yake ya kwanza kuanzisha thd ya kujisifia,
Thd zake nyingi ni mambo ya kufikirika tu,uchawi na ushirikina,halafu ukimpiga swali gumu hua hajibu,anawajibu wale aliowashikia akili maswali mepesi mepesi.
Wivu tu kwan nyuzi c kila mtu anaziona
 
Back
Top Bottom