Sasa hapa utafany mende auliwe kwa NYUNDO , au sisimizi auliwe kwa BOMU.
Utafanya mshana atumie zana zake hatari na lethal.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Sasa hapa utafany mende auliwe kwa NYUNDO , au sisimizi auliwe kwa BOMU.
Utafanya mshana atumie zana zake hatari na lethal.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]MH ..... Hapo kwa mshana ninawasiwasi napo ...Asije akatumia ndumba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]The Boss namuona akitangaza kwenye media kujiuzuli kugombea baada ya kuona dalili zote za kutopata kura za kuridhisha kabisa kwenye huu Uchaguzi.
Labda amuimbe kibibi fulani hivi ambaye ni mpinzani mkubwa sana wa mgombea wa Upinzani amsaidie majini ili aweze kumshinda jamaa.
Vinginevyo mhmh!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji125] [emoji125]Mshana jr ataushangaza ulimwengu pale atakapomchagua faiza fox kuwa mgombea mwenza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Mshana Jr uniteuw kuwa wazir mkuu
Usipo Fanya hivo naenda kukurogea msata[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]akishinda mshana basi atawapa ukuu wa wilaya za jf akina MziziMkavu @jichawi,NDUKI , Mcheza Karate , hebu imagine majukwaa yatakua na elements gani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Mshana jr na mada zake za kichawi ameweza kujizolea umaarufu humu jf
Wana jf nyie mnavutiwa sana na mambo hayo inavyoonekana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Rais mteule atakuwa anaenda kuongoza serikali ya awamu ya ngapi?
Ataongoza kwa katiba ipi?
Vigezo vya kuwa rais ni vp?
Huu uzi umekaa kimabavu sana.
Mwingine akalale jela, urais mjitangazie nyinyi mkiwa kitandani na wapenzi wenu.
Mzee Ben hawa hapa wale wakubwa kabisa uliosema tuwaite.
Hawamfikii jichawiHivi mshana jr na mzizi mkavu nani mkali kwa uchawi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji323] [emoji322] [emoji323] [emoji322] [emoji323] [emoji322]Chagua Mshana jr kwa maendeleo ya JF
Chagua Mshana jr ufurahie maisha yako
Chagua Mshana jr kwa masuala ya UTAMADUNISHO😀😀
Twende na Mshana jr
Mshana jr hoyeeeeeee
Kamanda Mshana jr mtampaaaa?
Mshana jr Mshana jr Mshana jr
[emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji31] [emoji31] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Atakaeshindana na Mshana Jr lazima apigwe kipapai.
[emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji31] [emoji31] [emoji125] [emoji125] [emoji125]