Mshana jr vs the boss ndo wagombea rasmi wa urais jf

Mshana jr vs the boss ndo wagombea rasmi wa urais jf

The Boss namuona akitangaza kwenye media kujiuzuli kugombea baada ya kuona dalili zote za kutopata kura za kuridhisha kabisa kwenye huu Uchaguzi.

Labda amuimbe kibibi fulani hivi ambaye ni mpinzani mkubwa sana wa mgombea wa Upinzani amsaidie majini ili aweze kumshinda jamaa.

Vinginevyo mhmh!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
Mshana jr ataushangaza ulimwengu pale atakapomchagua faiza fox kuwa mgombea mwenza
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji125] [emoji125]
 
The boss anafaa kuwa mshindi ila kwa jinsi mshana jr na kamati yake walivojipanga bila shaka jecha atafanya take!
 
Rais mteule atakuwa anaenda kuongoza serikali ya awamu ya ngapi?

Ataongoza kwa katiba ipi?

Vigezo vya kuwa rais ni vp?

Huu uzi umekaa kimabavu sana.

Mwingine akalale jela, urais mjitangazie nyinyi mkiwa kitandani na wapenzi wenu.

Mzee Ben hawa hapa wale wakubwa kabisa uliosema tuwaite.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
Sema mnafanya uchaguzi wa kuchagua rais wa jukwaa lako pendwa la chit-chat..

JamiiForums ina bosi mmoja tu na ndiye anayepambana na figisu figisu za serikali
 
Chagua Mshana jr kwa maendeleo ya JF
Chagua Mshana jr ufurahie maisha yako
Chagua Mshana jr kwa masuala ya UTAMADUNISHO😀😀
Twende na Mshana jr
Mshana jr hoyeeeeeee
Kamanda Mshana jr mtampaaaa?
Mshana jr Mshana jr Mshana jr
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji323] [emoji322] [emoji323] [emoji322] [emoji323] [emoji322]
 
Nani msimamizi wa uchaguzi.
Naona mshana jr. anajaza watu kwenye mikutano yake ya kampeni.

Hongera kwa mameneja wa kampeni pande zote mbili maana sijaona kampeni za kuchafuana.
 
Back
Top Bottom