Mshana jr vs the boss ndo wagombea rasmi wa urais jf

Mshana jr vs the boss ndo wagombea rasmi wa urais jf

Ngoja tusubirie sera zao japo jecha anaweza akafanya anavotaka
 
Mshana Jr kapita kwa asilimia 99.9%

Nafurah pia
Wish u the best of luck

Mshana jr usinisahau mtaalamu mwenzio kwenye ufalme wako

namchagua mshana jr

Ngoja nimchague huyu Mzee wa kichawi Mshana Jr. nadhani atanipa ukuu wa wilaya kama siyo mkoa

Mshana jr[emoji736] [emoji736]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom