Mshana jr wife: Leak Photo Mke Halali Wa Mshana jr Huyu Hapa!!

Mshana jr wife: Leak Photo Mke Halali Wa Mshana jr Huyu Hapa!!

Jamani mshana jr ana kaa mkoa gani au kama n dsm mtaa gani nataka nianze kumtembelea kwa sababu tz wote n wamoja
 
Mshana Jr. Kamteka kimazingara huyo....huyu msela itabdi anipe kizizi cha kupata madem wakali kwa gharama ndogo maana hii mizinga ni too much. Tehe
 
Hahahahaaaa sii sanaa mie mwenyewe asilia napenda kucheka hivo saa ingine watu wa karibu yangu hucheka vile mi nnavo cheka 😀😀😀

Hiyo itakua kweli, mwenyewe hapa tayari nacheka!!!!!
 
Tetesi: Mshana jr atakuja kuthibitisha ndiyo au la!
20161405083632_25.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]my Angel Nylon njoo huku fasta naundiwa zengwe
 
Back
Top Bottom