Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Mshana atakuwa kaapply ulozi hapa sio bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Mshana atakuwa kaapply ulozi hapa sio bure
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aah wapi tukutane tu pale pale kwa mangiMkuu mshana jr unajua. Wewe ni ndugu yangu kabisa ila tu ulikuwa hujui? Sasa naomba unielekeze kwako ili nije kukuthibitishia udugu wetu!! Kwanza ukiniona tu utajua!! Maana tumefanana kama nyota!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unamjua mshana vizuri? Utarogwa wew..!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu Mshana Jr,nahisi ulitumia ikumbo...
Alafu sasa ona tofauti yaani Mshana Jr post zake zinavyotisha kumbe anatutisha sisi yeye kumbe anatulizo la Moyo na akili kwa kiwango cha 32GbMshana atakuwa kaapply ulozi hapa sio bure
[emoji23] [emoji23] nimehamaKaka yangu kipenzi mshana Jr nielekeze kwako nije nikusalimu
[emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji237] [emoji237] [emoji237]Mshana jr akamatwe Mara moja na kufungwa jela..anakaa na mficha sukari[emoji35] [emoji35]..huyu mficha sukari aletwe kwangu!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]kumbe ulozi unasaidia bwana....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]sio jini mahaba hili? mshana mwenyewe haeleweki yule...
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]Mshana na ndumba zake zote hana jeuri ya kung'oa hiyo ngozi!...hapo mchawi pesa sio ndumba.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124]huyo ndo mke kumbe..
tuonyeshe na mchepuko
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji144] [emoji144] [emoji144]mshana jr hata angetumia zile zana za kazi zilizomo kwenye mkoba wa urithi kutoka kwa babu kizaa babu, asingeweza kuweka ndani chura msupuu ka huyu! na alivyo bahiri vile... atawezaje kumtunza!
Kua dogo uje ufaidi.[emoji6]Kweli wakubwa wanafaidi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]Mbona mshana hatokie kuthibitisha?
Au badilisheni heading iwe "" UTAALAMU WA MAJINI NA UCHAWI".....He will here in a second...[emoji28] [emoji28]
Hahhahahaaaa. ...ko zako [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mbona Mshana Jr kakaa kimya ?! Au kafumaniwa na kaka Jambazi
Karibu msataJamani mshana jr ana kaa mkoa gani au kama n dsm mtaa gani nataka nianze kumtembelea kwa sababu tz wote n wamoja