Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Teh teh, basi darubini yangu imeanza kuchoka ngoja niiset upya niangalie kama upo kweliii?Kama kwema basi kheri ila kuhusu kunisaka na kutoniona hilo halina ukweli sababu nipo nimejaa tele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh, basi darubini yangu imeanza kuchoka ngoja niiset upya niangalie kama upo kweliii?Kama kwema basi kheri ila kuhusu kunisaka na kutoniona hilo halina ukweli sababu nipo nimejaa tele.
Unajua hata WTC ilivyopigwa pana vikundi vilijitokeza na kusema wanahusika mmarekani akawaambia washike adabu zao kwani hawana uwezo huo.Sasa na humu waungwana wana hiyo daubt kuwa hivi hivi yaani yaani kavukavu tu bila taaluma ya mwanamalundi kuwa imehusika ung'oe chombo hicho?Hamna kitu kaka mahaba tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unajua hata WTC ilivyopigwa pana vikundi vilijitokeza na kusema wanahusika mmarekani akawaambia washike adabu zao kwani hawana uwezo huo.Sasa na humu waungwana wana hiyo daubt kuwa hivi hivi yaani yaani kavukavu tu bila taaluma ya mwanamalundi kuwa imehusika ung'oe chombo hicho?
Mashkhofu utaniona tele nimejaaTeh teh, basi darubini yangu imeanza kuchoka ngoja niiset upya niangalie kama upo kweliii?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wajua khabari hii ina vitu vingi kwanza kwa mleta mada jina lake ndo tunajiuliza kwa weka gani mpaka afanye hivi?au labda analipa fadhila katika shughuli zake Mr jambazi kuna wepesi alifanyiwa na mshana au au au aaah yaani bado picha haijaniijia.
[emoji23] [emoji23] tatizo ni masharti utayaweza?Sasa Mshana zile mada zingine za gizan mbna hugusiag huku, tugusie na huku nasi tuwe km ww
Notedkamanda langu MSHANA Jr be blessed wagalatia wanasema ''live long '' huwa nayaheshimu sana mawazo yako haya ni mambo madogo tu duniani.
Hahahahahhaaa thanks Samaritan aka msamaria hope ni mwema 😀😀😀
Kaka Jambazi ananisingizia wallah
Msamaria mwema, siku nikitindikiwa furaha ntakutafuta nicheke nifurahi. Nnachokipenda zaidi kwako, unaishi maisha yako bila kujali wengine wanakufikiria vipi, wengi wamefail kwa hilo.
Acha tumshuhudie muke ya mshana jr
Hapa sisemi yule mtoto wa unguja atanitumbua kwaheri [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkubwa kwani umeoa wa pili? Mie shemeji nnaemfaham mbona sio huyu?
Ila huyo mtoto ni mkareee mbayaa, kwa kuwa tayari nmeshasave picha yake kwangu so huyu atanifaa leo usiku kwa nyetoHapa sisemi yule mtoto wa unguja atanotumbua kwaheri [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji380] [emoji380] [emoji380]Ila huyo mtoto ni mkareee mbayaa, kwa kuwa tayari nmeshasave picha yake kwangu so huyu atanifaa leo usiku kwa nyeto