Mshana jr wife: Leak Photo Mke Halali Wa Mshana jr Huyu Hapa!!

Mshana jr wife: Leak Photo Mke Halali Wa Mshana jr Huyu Hapa!!

Mkuu mshana jr unajua. Wewe ni ndugu yangu kabisa ila tu ulikuwa hujui? Sasa naomba unielekeze kwako ili nije kukuthibitishia udugu wetu!! Kwanza ukiniona tu utajua!! Maana tumefanana kama nyota!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aah wapi tukutane tu pale pale kwa mangi
 
Mmmh, kama mmiliki asingekuwa mshana jr ningekula naye sahani moja, ila jamaa mke wa huyu jamaa hukawii kukuta Dushelele limehamia kwenye paji la uso
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mshana jr akamatwe Mara moja na kufungwa jela..anakaa na mficha sukari[emoji35] [emoji35]..huyu mficha sukari aletwe kwangu!!
[emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji237] [emoji237] [emoji237]
 
Mshana na ndumba zake zote hana jeuri ya kung'oa hiyo ngozi!...hapo mchawi pesa sio ndumba.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]
 
mshana jr hata angetumia zile zana za kazi zilizomo kwenye mkoba wa urithi kutoka kwa babu kizaa babu, asingeweza kuweka ndani chura msupuu ka huyu! na alivyo bahiri vile... atawezaje kumtunza!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Mbona mshana hatokie kuthibitisha?

Au badilisheni heading iwe "" UTAALAMU WA MAJINI NA UCHAWI".....He will here in a second...[emoji28] [emoji28]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom