Elf 7 zaweza tosha bando la kusifu na kuabudu kwa mwezi mzima?Machawa kazi yao ni kujaziwa tu bando kwenye simu halafu wanaanza kusifia.
Mwezi ukiishia elfu Saba Saba zinaingizwa kwenye akaunti zao.
Nadhani bando Iiko nje ya elfu saba.Elf 7 zaweza tosha bando la kusifu na kuabudu kwa mwezi mzima?
Huwezi kuwa na chama kama CCM kilichokaa madarakani kwa zaidi ya miaka hamsini halafu kisiwe na utaratibu mzuri wa kupashana habari!Machawa wameanza kupongenza kufukuzwa kwa Nchimbi bila hata kujua sababu!!! semeni kwa Watanzania kosa la Nchimbi ni lipi????
Unafikiri Bado Pana njia ya comrade kupita!!?Akitokea akawa Rais utasikia oooo unajua ulionewa
Kichwani umejaa tope tupuUnafikiri Bado Pana njia ya comrade kupita!!?
Operation za deep state zimefeli Hadi sasa!!!coz wachina na warusi wameingilia game dhidi ya USA na co kifupi mchezo unachezwa na elite!anaepambana sio samiah Tena Bali anapambaniwa kijasusi kwa maslahi Yao!
Kifupi sioni njia Kwa comrade kupenya!
Kazi na utu,tuendelee kusonga mbele tukiimba!samiah forever on the throne!!
Ushahidi unao?.Kupindua Serikali.
Kwenda kinyume na boss wako ni kuangusha Jukwaa lake.Ushahidi unao?.