Mshangao: Wanafunzi wa shule moja ya msingi wote wamechaguliwa secondari moja

Mshangao: Wanafunzi wa shule moja ya msingi wote wamechaguliwa secondari moja

Santa kayumba,hapo anaacha shule mmoja mmoja mnaingia form one wanafunzi 200+ kufika mwezi wa sita washabaki 100
Unakutana na mwanafunzi wa kidato cha kwanza anayezingatia kujirekodi video akicheza amapiano na kuituma TikTok kuliko masomo, hapa utategemea nini?
 
Hapo unaanza kumsaidia kubeba begi Madam yoyote mpole hadi barabarani. Wakati upo kwenye huo mchakato unatafuta rafiki mgomvi mmoja wa kukulinda.
Wakati niko Shule ya Msingi kuna Mshikaji wa Darasa letu nilitokea kumuogopa bila ya sababu za msingi nadhani alinidhidi Urefu kitambo hicho hii kwangu ilikuwa ni moja ya fact ya kumuhofia mtu sasa yule jamaa akawa amegundua kwamba namuogopa ikawa full kuonewa na mwamba akiwepo mi siongei mzee kuna siku tuko shule miezi ya mwisho wa mwaka kama sasa nakumbuka tulikuwa na zamu ya kumwagilia bustani ilikuwa siku ya Jumamosi baada ya kazi ya bustani tukasogea mitaa ya uwanja wa mpila sasa mimi nilikuwa ni mtundu sana wA mpila nikaweka kama chuma mbili fasta mwamba sasa akawa kila nikienda nafanyiwa vurugu maana sio Rafu Ebwana hamkuwepo ila maraika yenu yalikuwepo Nilimfuata nikamsukuma mwamba akavimba ebwana nilimchapa wanafunzi wenzetu wameweka duara kama kuna mtu amewahi kuona Van Damme na Tong Po ndivyo jamaa alilegea baada ya kudondoka wote tukamkimbia.Fundisho siku ukisema inatosha Amini Inawezekana.
 
Leo nilikutana na bwana mdogo mmoja akaniomba nitazamie shule aliochaguliwa kwenda kidato cha kwanza.

Cha ajabu nikakuta wanafunzi wote 230+ wamechaguliwa kwenda secondary moja yani ni kama kuhamisha shule nzima kwend secondary moja.

Je hii imenifanya nitafakari Sana namna selection zilivyofanyika au wote walichagua io shule.
KUNA Moja Kilimani Ina wanafunzi 167
165wameenda mbezi juuu
Ndio maana tukishaachana na hizi shule

Huu n ukichaa hio n shule Moja sijui wengine nao kama wanajazia loh
 
Leo nilikutana na bwana mdogo mmoja akaniomba nitazamie shule aliochaguliwa kwenda kidato cha kwanza.

Cha ajabu nikakuta wanafunzi wote 230+ wamechaguliwa kwenda secondary moja yani ni kama kuhamisha shule nzima kwend secondary moja.

Je hii imenifanya nitafakari Sana namna selection zilivyofanyika au wote walichagua io shule.
Dogo wewe aidha ni wa zamani sana au hufuatilii mambo yanavyoenda ili mradi unakula, unanyamba, unalala! Unafikiri hiyo ni ajabu wakati ni zaidi ya miaka minne inafanyika hivyo!!?
 
Dogo wewe aidha ni wa zamani sana au hufuatilii mambo yanavyoenda ili mradi unakula, unanyamba, unalala! Unafikiri hiyo ni ajabu wakati ni zaidi ya miaka minne inafanyika hivyo!!?
Nadhani umeongea kufurahisha mtima wako. Sawa kubwajinga
 
Nadhani umeongea kufurahisha mtima wako. Sawa kubwajinga
Narudia tena, wewe ni mjinga tu. Hii kitu inafanyika nchi nzima zaidi ya miaka minne iliyopita unaloloma leo kisa first born wa jirani yako kachaguliwa shule moja na wenzake darasa zima!! KUMBAVU!!
 
Miaka ya nyuma kabla ya shule za Kata kuanza, ilikiwa ni bahati kuona shule ya msingi na hasa Kiijijini, kufaulisha mwanafunzi/wanafunzi kwenda sekondari.
Shule nyingi zilikuwa zinatoka sifuri, inayofanikiwa kupata mmoja, wawili, au zaidi basi lazima kuwe na sherehe.
 
Back
Top Bottom