loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,887
- 6,657
Mshangazi wa taifa Janepher Sanga mwenye views na followers zaidi ya million 8 kwenye mitandao ya kijamii, katoa onyo kwa ukali kwa madalali wa wanawake ambao wana posti namba zake kwenye page zao yeye hajiuzi.
Kitendo hicho kimemuudhi sana mshangazi huyo nakuendelea kusema yeye ni content creator tu anajiposti ili posti zake zitrend apate followers nyingi na views nyingi.
Pia alishawahi kuwaonya vijana wadogo ambao walikuwa wanamkera kwa kumsumbua na kumfuatafuata eti wako tayari kumuhudumia kwa kila kitu na kuwajibu wasijisumbue kwasababu tayari anaye mtu anayemuhudumia kwa kila kitu.
Janepher ambaye anapenda kujiposti huku akianika mapaja yake mazuri, yanayovutia na kutamanisha na kupelekea vijana na wanaume kwa jumla kuchanganyikiwa na vichwa vyao kwenda resii hatimae kujikuta na kuwaza mwanamama huyu anatafuta soko kumbe tu anatafuta followers na views siyo kingine.
adriz de mbusii