Mshangazi wa Taifa, Janepher Sanga katoa onyo kali: Hajiuzi, yeye ni content creator tu

Mshangazi wa taifa Janepher Sanga mwenye views zaidi ya million 8 kwenye mitandao ya kijamii, katoa onyo kwa ukali kwa madalali wa wanawake ambao wana posti namba zake kwenye page zao yeye hajiuzi.
View attachment 3570956

Kitendo hicho kimemuudhi sana mshangazi huyo nakuendelea kusema yeye ni content creator tu anajiposti ili posti zake zitrend apate followers nyingi na views nyingi.

Pia alishawahi kuwaonya vijana wadogo ambao walikuwa wanamkera kwa kumsumbua na kumfuatafuata eti wako tayari kumuhudumia kwa kila kitu na kuwajibu wasijisumbue kwasababu tayari anaye mtu anayemuhudumia kwa kila kitu.

Janepher ambaye anapenda kujiposti huku akianika mapaja yake mazuri, yanayovutia na kutamanisha na kupelekea vijana na wanaume kwa jumla kuchanganyikiwa na vichwa vyao kwenda resii hatimae kujikuta na kuwaza mwanamama huyu anatafuta soko kumbe tu anatafuta followers na views siyo kingine.
View attachment 3570961

RRONDO mshamba_hachekwi min -me

adriz de mbusii
Asante kwa picha
 
nimemkubali ila hii picha amezingua, kaonyesha na m,t*ko
FB_IMG_1775941112650.jpg
FB_IMG_1771327539596.jpg
 
Mshangazi wa taifa Janepher Sanga mwenye views na followers zaidi ya million 8 kwenye mitandao ya kijamii, katoa onyo kwa ukali kwa madalali wa wanawake ambao wana posti namba zake kwenye page zao yeye hajiuzi.
View attachment 3570956

Kitendo hicho kimemuudhi sana mshangazi huyo nakuendelea kusema yeye ni content creator tu anajiposti ili posti zake zitrend apate followers nyingi na views nyingi.

Pia alishawahi kuwaonya vijana wadogo ambao walikuwa wanamkera kwa kumsumbua na kumfuatafuata eti wako tayari kumuhudumia kwa kila kitu na kuwajibu wasijisumbue kwasababu tayari anaye mtu anayemuhudumia kwa kila kitu.

Janepher ambaye anapenda kujiposti huku akianika mapaja yake mazuri, yanayovutia na kutamanisha na kupelekea vijana na wanaume kwa jumla kuchanganyikiwa na vichwa vyao kwenda resii hatimae kujikuta na kuwaza mwanamama huyu anatafuta soko kumbe tu anatafuta followers na views siyo kingine.
View attachment 3570961

RRONDO mshamba_hachekwi min -me

adriz de mbusii
Mbona hiyo post yake ya malalamiko ndo tangazo lenyewe?
 
Back
Top Bottom