Mshangazi wa Taifa, Janepher Sanga katoa onyo kali: Hajiuzi, yeye ni content creator tu

Mshangazi wa taifa Janepher Sanga mwenye views na followers zaidi ya million 8 kwenye mitandao ya kijamii, katoa onyo kwa ukali kwa madalali wa wanawake ambao wana posti namba zake kwenye page zao yeye hajiuzi.
View attachment 3570956

Kitendo hicho kimemuudhi sana mshangazi huyo nakuendelea kusema yeye ni content creator tu anajiposti ili posti zake zitrend apate followers nyingi na views nyingi.

Pia alishawahi kuwaonya vijana wadogo ambao walikuwa wanamkera kwa kumsumbua na kumfuatafuata eti wako tayari kumuhudumia kwa kila kitu na kuwajibu wasijisumbue kwasababu tayari anaye mtu anayemuhudumia kwa kila kitu.

Janepher ambaye anapenda kujiposti huku akianika mapaja yake mazuri, yanayovutia na kutamanisha na kupelekea vijana na wanaume kwa jumla kuchanganyikiwa na vichwa vyao kwenda resii hatimae kujikuta na kuwaza mwanamama huyu anatafuta soko kumbe tu anatafuta followers na views siyo kingine.
View attachment 3570961

RRONDO mshamba_hachekwi min -me

adriz de mbusii
Hayo mapaja ni mazuri yanayovutia??
 
1775977606648.jpg
 
Hapana kila mtu ana machaguo yake mimi chaguo langu mwanamke tusilingane kimo lazima awe mfupi yaan km tukisimama hivi karibu tukaangaliana ananiangalia km anautazama mlima Kilimanjaro ule kule juu au asinizidi kimo yaan asiwe mrefu kuliko mimi na hio ndio inanipa himaya ya kumdhibiti nikimshika hafurukuti namna hio ndio napenda sio tunalinga kimo ooho hainogi
 
Mshangazi wa taifa Janepher Sanga mwenye views na followers zaidi ya million 8 kwenye mitandao ya kijamii, katoa onyo kwa ukali kwa madalali wa wanawake ambao wana posti namba zake kwenye page zao yeye hajiuzi.
View attachment 3570956

Kitendo hicho kimemuudhi sana mshangazi huyo nakuendelea kusema yeye ni content creator tu anajiposti ili posti zake zitrend apate followers nyingi na views nyingi.

Pia alishawahi kuwaonya vijana wadogo ambao walikuwa wanamkera kwa kumsumbua na kumfuatafuata eti wako tayari kumuhudumia kwa kila kitu na kuwajibu wasijisumbue kwasababu tayari anaye mtu anayemuhudumia kwa kila kitu.

Janepher ambaye anapenda kujiposti huku akianika mapaja yake mazuri, yanayovutia na kutamanisha na kupelekea vijana na wanaume kwa jumla kuchanganyikiwa na vichwa vyao kwenda resii hatimae kujikuta na kuwaza mwanamama huyu anatafuta soko kumbe tu anatafuta followers na views siyo kingine.
View attachment 3570961

RRONDO mshamba_hachekwi min -me

adriz de mbusii
Aiseeee huyu yupo group la kitambaa cheupe kumbe n maarufu hivyo.
Ana family yake na biashara zake.
Sikujua jades
 
Back
Top Bottom