Mshaurini Diamond Platnumz awe mbunifu aache ku-copy

Mshaurini Diamond Platnumz awe mbunifu aache ku-copy

Inama, tetema,yope, jeje, zote hizo zimekuwa nominated afrimma kwa nyakati tofauti na Kenny kawa nominated afrimma best director mara tatu including mwaka huu na ameshinda mara moja.
We unazungumzia past, mi nazungumzia future. Kwa akili ndogo tu we unaona mtu anaweza kuipa ushindi kazi iliyoigwa? Unless hijui maana ya plagiarism, let alone copyright!
 
We unazungumzia past, mi nazungumzia future. Kwa akili ndogo tu we unaona mtu anaweza kuipa ushindi kazi iliyoigwa? Unless hijui maana ya plagiarism, let alone copyright!
Kwani kuiga kosa mkuu??? hicho ni kitu cha kawaida kwenye sanaa.
Mbona Kenny ameshinda mwaka jana kama best director kwa video ya tetema ambayo kuna kipande ametumia idea ya Msanii mwingine.
Kutumia idea ya mtu mwingine sio kosa as long as umefuata taratibu.
 
Anatumia muda mwingi kuangalia kazi za wenzake ili apatemo cha ku-Copy. Msanii wenu kaishiwa mashairi sa hizi kachificha kwe vikolabo uchwara na Zuchu

Kwanini anawatelekeza Lavalava za Queen Darleen ataki kufanya nao Kolabo. Kiki ya Mimi Mars imebuma trendng za mademu zimeshamgomea anatapatapata tu

View attachment 1584280View attachment 1584281
Recently kijana Nassib ni kama ameishiwa hivi
 
Kwani kuiga kosa mkuu??? hicho ni kitu cha kawaida kwenye sanaa.
Mbona Kenny ameshinda mwaka jana kama best director kwa video ya tetema ambayo kuna kipande ametumia idea ya Msanii mwingine.
Kutumia idea ya mtu mwingine sio kosa as long as umefuata taratibu.
Kwa hiyo kama alishinda tetema sasa ye hatungi tena. Anaangalia tu kazi za watu, anaiga concept zao anatoa chupa akisubiri kushinda tena !!! Na we unaona poa tu !!!
 
Kwa hiyo kama alishinda tetema sasa ye hatungi tena. Anaangalia tu kazi za watu, anaiga concept zao anatoa chupa akisubiri kushinda tena !!! Na we unaona poa tu !!!
Kosa liko wapi kama amefuata utaratibu ??? Wanaiga ma director wakubwa tu duniani ajabu nini kwa kenny???
f27d37df7014c5b1350707ac057029db.jpg
6025c2570debfec6ee545c7eecac87cc.jpg
a2fabf214038884ac21ddb8b90e3b5d4.jpg
 
We unazungumzia past, mi nazungumzia future. Kwa akili ndogo tu we unaona mtu anaweza kuipa ushindi kazi iliyoigwa? Unless hijui maana ya plagiarism, let alone copyright!
Hata mwaka huu kawa nominated kaka acha makasiriko
 
Kuweka ad's sio uchawi,uchawi ni unaweka ad's kwenye nyimbo aina ya copy and paste ni kujiharibia soko tu. Wcb wangekua na muziki mzuri wangetamba sana africa 1 trending ila sasa ad's zao ni zile kujaza views kuwaziba akina ibra

Na unaweka ad's kwa manufaa yako na sio kushindana na wengine kiasi kwamba mtu akitoa wimbo basi linatumwa kundi kumsakama eti anataka kuiba number 1 trending.

Kiba ana aina yake ya muziki ni kama anataka kuwa karibu na dini yake ila njaa na umaarufu vinamvuta hivyo anashindwa kujipambanua kwenye muziki wa biashara au hobby tu,dharau na majivuno vinamvuta pia
Kuna mtu alisema ww huwa hauko serious humu kwahy hata ulichoandika Naona hakipo serious pancho boy
 
Kama ndio hivyo basi kungekuwa hakuna ubunifu kila director ange copy. Chukulia ma director wa nchi zote za africa wa copy ideas za marekani au rest of africa wa copy nigeria kungekuwa na sanaa tena? Au ma director wengine hawajui hii siri nini ya kushinda award?
Huyu jamaa anakosolewa sana kwa sababu anafanya kazi na Diamond na hater lakini directors wengi wanatumia idea za watu. Video ya mpaka kesho ya harmonize wamekopi idea ya mdogo mdogo ya Diamond, kushoto kulia wamekopi ya baba lao ulisikia wapi inaongelewa??? kuna thread yoyote imefunguliwa humu kukosoa??? Video ya wezele ya mavoko kakopi on the low ya burnaboy kama ilivyo, nani alikosoa??? Alikiba mwenyewe anakopi sema Diamond ni mti wenye matunda.
Hii hoja ya kukopi inatumiwa na haters wa Diamond lakini sio kwamba director wengine hawatumii idea za watu na hilo wala sio kosa as long as umefuata taratibu hasa katika dunia ya sasa ambayo vitu vingi ni marudio.
 
Na baba lao nayo wamecooy kwa yope mbona husemi mmecopy mpka vionjo hahah kweli nyani haoni kundule
 
linafiki sana hilo jamaa,sijui linawaogopa???
Sasa hapo u hater wake ukwapi kisa kawaambia ukweli ambapo kila atakayewaambia ni hater..

Mnapenda kushikwa shikwa matako .
Hahahahahah Meza wembe
 
Unamchukia na hakujui???na atakukera zaidi,
Tabu inabaki palepale. Bonge la chawa weView attachment 1585511
Tunza ndoa yako hapo akizingua huli.
Halafu humu kwenye Uzi kila mtu unamuita hater huoni
Aibu kijana na nguvu zako kutukana watu kisa unapewa hela ya vocha?dah una tofauti gani na James delicious hahahah
 
Tulia dawa ikuingie h baba,
Kidume kizima unachuki na mafanikio ya mwanaume mwenzako ambaye hata hakujui???
We mwijaku ama???
Na utakerwa zaidi,
Yeah napata wivu zaidi ili nami nizidi kutafuta niwe kama yeye.
Wewe umekubali kuwa chawa yaani mkewe na kuwaponda wasanii wengine ili tu mumeo akupe haki yako shame..

We juma lokole nini?
 
Sijui unekuwaje nikabishana ni hili taira dah yaani naonekana mpuuzi kubishana na jobless chawa ...

Sirudii huu ujinga tena nawaaibisha ma comrade wenzangu kubishana ujinga
 
Juma lokole sasa ulikuwa unaogopa nini kujitaja?
Ndio mmefikia huku?[emoji1787][emoji1787] Kwan kila m2 akibaki na team yake shida iko wapi? Mpk mnapeana majina ya mademu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huwezi kumforce binadamu amkubali msanii fulan never... Na kila m2 anamsanii anaemkubali kikubwa kuelewana tu ukiona m2 amekomenti ki team achananaye
 
Back
Top Bottom