Huyu jamaa anakosolewa sana kwa sababu anafanya kazi na Diamond na hater lakini directors wengi wanatumia idea za watu. Video ya mpaka kesho ya harmonize wamekopi idea ya mdogo mdogo ya Diamond, kushoto kulia wamekopi ya baba lao ulisikia wapi inaongelewa??? kuna thread yoyote imefunguliwa humu kukosoa??? Video ya wezele ya mavoko kakopi on the low ya burnaboy kama ilivyo, nani alikosoa??? Alikiba mwenyewe anakopi sema Diamond ni mti wenye matunda.
Hii hoja ya kukopi inatumiwa na haters wa Diamond lakini sio kwamba director wengine hawatumii idea za watu na hilo wala sio kosa as long as umefuata taratibu hasa katika dunia ya sasa ambayo vitu vingi ni marudio.