Mshaurini mwanamke huyu, nitampelekea ushauri wenu.

si mbaya kama ukikiri kuwa ni mkeo boss..
japo nikusifu una moyo wa kuonewaonewa wewe maana mara 2 zote unasamehe tu??
 
Nilishakuwa na mwanamke wa namna hiyo, tulikuwa tunaishi nyumba ya kupanga aliposafiri nikahama na kuoa mwingine chapuchapu.
 
Hata akisamehewa baada ya muda atarudia tena inaone ni kama tabia yake, inaweza kuwa imetokana na sababu ama tamaa ama maisha magumu, ama ndo tabia yake
 
Kafumaniwa mara tatu na mumewe ,mara mbili kasamehewa hii mara ya tatu mumewe kagoma kabisa kumsamehe,anasema anaweza kumdhuru hataki hata kumuona, ila mwanamke ni king'ang'anizi analazimisha kusamehewa maisha yaendelee, ushauri wenu tafadhali.
Aahh huyo ni RED CARD bila huruma
 
Sasa huyo mwanamke anaomba ishauri gani maana sijaelewa
Haombi ushauri yeye, ninayeomba ushauri ni mimi baada ya ushauri wangu kudunda kwake, ushauri wenu wote nitampelekea kama ulivyo
 
Hata akisamehewa baada ya muda atarudia tena inaone ni kama tabia yake, inaweza kuwa imetokana na sababu ama tamaa ama maisha magumu, ama ndo tabia yake
Hana ugumu wa maisha hata kidogo, milo mitatu si kitu cha kuumiza kichwa kwake, anakula atakacho na anavaa apendavyo, ni tamaa tu au pepo la ngono.
 
si mbaya kama ukikiri kuwa ni mkeo boss..
japo nikusifu una moyo wa kuonewaonewa wewe maana mara 2 zote unasamehe tu??
Muhimu sana ni ushauri wako, hata nikikiri bila ushauri utakuwa hujanisaidia
 
Muhimu sana ni ushauri wako, hata nikikiri bila ushauri utakuwa hujanisaidia
mficha maradhi kifo humuumbua boss..
we achana nae,jituile akili vya kutosha kabla hujatafuta wa kukutuliza moyo wako
 
umeolewa wew unaona je akikuchukua wewe
 
Ww ndo muhusika katika hii movie pole munooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…