Mshaurini mwanamke huyu, nitampelekea ushauri wenu.

Pole mkuu kwa matatizo ila kama vipi mrudie tu maana wewe domo zege hauwez tongoza demu mwingine ndio maana umekimbilia ushauri
 
mchukue mkeo uishi nae ,mke unaye Zaidi ya mwaka kuchukuliwa nje mara 3 tuu ndio umuache yaani Zaidi ya siku 365 unaye wewe .kisha siku 3 tuu yaani mara 3 tuu,ndio red hapana mkuu
 
mchukue mkeo uishi nae ,mke unaye Zaidi ya mwaka kuchukuliwa nje mara 3 tuu ndio umuache yaani Zaidi ya siku 365 unaye wewe .kisha siku 3 tuu yaani mara 3 tuu,ndio red hapana mkuu
Ushauri wako mzuri sana, hata angechukuliwa siku 90 hazifanani na siku 365
 
Asante sana
 
Atafute mwanaume ambaye hachoki kusamehe.Kusamehe huwa hakulazimishwi na hapo wa kushauriwa(ili isiendelee au asirudie ujinga wa kusamehe habitual bitch) ni mwanaume,kwani huyo mwanamke wa aina hiyo utamshauri nini hapo.
Ushauri umetulia
 
Sasa analazimisha msamaha huyu vipi? msamaha haulazimishwi. Maambie ame **** up big time , na jama kumsamehe, labda Mungu mwenyewe ashuke aje amtetee. Otherwise mume ndio kaenda hivyo, ajiongeze
Hata Mungu akishuka hawezi kuacha kamwe
 
Fala kweli huyooo! Ata ingekua mimi simsamehe tena, kasahamueka huyo mumewe bwege.
 
Ndo hapo! Lijitu unalifumania mara tatu bado unakaa nae ndani tu!!!
 
Uko sahihi 100%
 
Kafumaniwa mara tatu na mumewe ,mara mbili kasamehewa hii mara ya tatu mumewe kagoma kabisa kumsamehe,anasema anaweza kumdhuru hataki hata kumuona, ila mwanamke ni king'ang'anizi analazimisha kusamehewa maisha yaendelee, ushauri wenu tafadhali.
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…