Mshaurini mwanamke huyu, nitampelekea ushauri wenu.

Mshaurini mwanamke huyu, nitampelekea ushauri wenu.

Pole mkuu kwa matatizo ila kama vipi mrudie tu maana wewe domo zege hauwez tongoza demu mwingine ndio maana umekimbilia ushauri
 
mchukue mkeo uishi nae ,mke unaye Zaidi ya mwaka kuchukuliwa nje mara 3 tuu ndio umuache yaani Zaidi ya siku 365 unaye wewe .kisha siku 3 tuu yaani mara 3 tuu,ndio red hapana mkuu
 
mchukue mkeo uishi nae ,mke unaye Zaidi ya mwaka kuchukuliwa nje mara 3 tuu ndio umuache yaani Zaidi ya siku 365 unaye wewe .kisha siku 3 tuu yaani mara 3 tuu,ndio red hapana mkuu
Ushauri wako mzuri sana, hata angechukuliwa siku 90 hazifanani na siku 365
 
Sinaga ushauri kwa kitu linalocheat kwenye mahusiano, mm sifanyagi huo ujinga nikiwa kwenye mahusiano tamaa zote naweka chini, na ikitokea nikacheatiwa nikajuwa, natoa taarifa asipobadirika basi nafanya maamuzi ya kistaarabu.

Oh kumbe amemsamehe Mara mbili? Its enough. Inatosha maana hata mungu anaona. Mwanamke huyo aondoke mapema apate raha zote anazozitamani, amwache mwanaume wa wa watu sio fungu lake.
Asante sana
 
Atafute mwanaume ambaye hachoki kusamehe.Kusamehe huwa hakulazimishwi na hapo wa kushauriwa(ili isiendelee au asirudie ujinga wa kusamehe habitual bitch) ni mwanaume,kwani huyo mwanamke wa aina hiyo utamshauri nini hapo.
Ushauri umetulia
 
Sasa analazimisha msamaha huyu vipi? msamaha haulazimishwi. Maambie ame **** up big time , na jama kumsamehe, labda Mungu mwenyewe ashuke aje amtetee. Otherwise mume ndio kaenda hivyo, ajiongeze
Hata Mungu akishuka hawezi kuacha kamwe
 
Fala kweli huyooo! Ata ingekua mimi simsamehe tena, kasahamueka huyo mumewe bwege.
 
wakushauriwa ni mwanaume sio mwanamke,na ushauri atafute mwanamke mwingine mwenye heshima zake,hivi si mnasemaga wanawake tuko wengi,hasa unashindwaje kufanya maamuzi?lol mwambie aje na mwanamke mwingine aweke hapo ndani,kama huyo mkeo hajasepa kimya kimya.
Ndo hapo! Lijitu unalifumania mara tatu bado unakaa nae ndani tu!!!
 
Kuna wanaume mazuzu sijapata ona,hivi nikufumanie alafu uniombe msamaha na maisha yaendelee!ndo tatizo la mwanaume kukosa uamuzi binafsi.mwanaume unatakiwa kuwa na maamuzi magumu.nikimfumania mwanamke hata bibi zake wafufuke sitamsamehe kamwe labda Kwa kosa lingine sio hilo.
Uko sahihi 100%
 
Kafumaniwa mara tatu na mumewe ,mara mbili kasamehewa hii mara ya tatu mumewe kagoma kabisa kumsamehe,anasema anaweza kumdhuru hataki hata kumuona, ila mwanamke ni king'ang'anizi analazimisha kusamehewa maisha yaendelee, ushauri wenu tafadhali.
Duuh
 
Back
Top Bottom