Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Tukomae naisubili kwa ham sana hiyo siku siwezi kosa $500 siku hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu share tuone maana hili forex hata sijui nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa aliuza mpaka tv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana. Umeeleza vizuri sana. Ngoja nichambue soko hapa.


Mwisho wa siku maisha ni kuchagua. Siai tumechagua forex (Utapeli) Wengine wachague Betting (Halali) na biashara nyingine halali.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jilieni tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee...!
 
Ushawahi kuchoma account?
Saaaaaana tena saaaaaana saaaaaana. Na zote ambayo iliwahi kuwa na kiasi kikubwa ilikuwa ni usd 37.


Na zote nilizosoma ni pale ninapokuwa na new trading mechanism nataka kuifanyia kazi huwa siijaribu kwenye demo kwani huwa nakosa ile real trading psychology. So huwa naweka Salio kidogo nje ya account kuu then natest mitambo.


Lakini account kuu ambayo naenda na minimal risk management sijaunguza. Namshukuru mungu sina tamaa. Tamaa inawafanya watu wanaunguza saaaaaana. Kuna mtu namfahamu anafanya kazi taasisi kubwa ya serikali huko mbugani. Alianza na capital ya USD 2500 akawa analaza USD 25-70 kwa siku.


Nikamwambia rizika na hiyo amount ukuze mtaji. Akanizunguka akaongeza lot size kutoka 0.04 mpaka 0.90 kwa exness broker. Akapiga na kilaza USD 360 kwa siku. Ukawa ni mchezo wake. Kilichomkuta anajua yeye.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…