Broken English
Senior Member
- Dec 23, 2018
- 108
- 128
BETTING UNAANGALIA MECHI LIVEForex na Betting ni aheri betting maana una chance kubwa ya kufanya analysis kirahisi. Kulielewa graph sio mchezo
Kwani forex huangalii live kwenye mt4 au Mt5 ?BETTING UNAANGALIA MECHI LIVE
AiseeeForex for Life
WHATEVER, LAKINI KILA MTU ANAVUTIA KWAKE KWENYE MASLAHI
Leo umejitahidi kufafanua.Kabla ya kufanya biashara ya Forex huu ujumbe unapatikana kwa kila broker awapatie trader wake.. Sasa sijui kama nyie huwa mnaelewa kinachoandikwa hapo.
Yaani mtu mzima unafananisha Ujinga ujinga na upuuzi wa Qnet na Forex ?? Biashara ambayo ni halali kwenye nchi ya dunia za kwanza miaka na miaka. Hiyo Qnet ni pyramid scheme bussines ambayo katika nchi kama marekani ni kosa la jinai kufanya Ponzi bussines na ukikamatwa ni kifungo.
Ninachojifunza hapa, watanzania ni wavivu wa kutafuta maarifa kabisa. Hufanya maamuzi kwa kusikia watu wanasema nini. Mtu akisikia Deci anaenda. Akisikia D9 anaenda . Akisikia Forex anaenda ila hana sababu zake za kiutafiti kwanini kafanya hayo maamuzi.
Amini nakwambia ukifanya utafiti wako kuhusu biashara ya forex bila kuwa bias utakuja kunitafuta siku moja. Kama una king'amuzi cha Dstv weka channel namba 411 (Bloomberg Tv) naamini utaelewa Forex ni nini.
Sasa Kama MTU anasema forex ni utapeli hivi ukisikia biashara ya stocks, commodities, indices na shares si ndio mtasema ni ujambazi. Hebu nikusaidie tafuta gazeti la either The citizen au Daily News nenda kwenye ukurasa wa bussines utakuta FOREX,INDICES,SHARES & commodities zinachambuliwa vyema kabisa.
Maarifa Maarifa Maarifa .... Tafuteni maarifa. Inauma sana mwaka 2019 bado kuna kiumbe duniani anasema FINANCIAL MARKETS ni utapeli . Bado kuna mtu anashidwa tofautisha Marketing Network na Financial Markets.
View attachment 982938
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahitaji ?Leo umejitahidi kufafanua.
Vile vitabu visivyoongelea S&R vikowapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli forex unaamua upate au upoteze sh.ngapi ni tofauti na sportpesa
Leo ktk huu Uzi unaandika mondo sana.Mkuu inauma saba , nipo kwenye channel moja na watu wa mataifa ya ulaya, Asia na America. Kuna vijana Niko nao kule wanaijua forex tangu wakiwa na miaka 9. Kuna huyo mmoja anatokea Dubai yeye alikuwa anafundishwa na baba yake kufanya stocks tangu akiwa na miaka 10. Baada ya kuwa mtu mzima ndio kajiongeza kufanya Forex.
Kuna mzungu mmoja yeye huwa anatengeneza indicators za forex kwa kila anachosoma. Yaani kama ameaoma Quoter Theory yeye anaitengenezea indicator ili imsaidie trader. Jamaa nilisoma Biography yake kuwa ameijua forex tangu akiwa na miaka 16. Leo unashangaa mtanzania tena kwa cheap reasons anasema forex ni utapeli .
Ujamaa ulituharibu saaaana. Ulituziba kujua mambo mengi ya kidunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
No. Haihusiani na elimu zingine za darasani.elimu ya forex inajitegemea.Kwahiyo kwa maana nyepesi tuseme forex ni biashara ya wasomi au sio!
Kweli KBSIs not a matter of kuwa msomi hata hata Phd holder anaweza kula mkenge kwenye forex vizuri kabisa...
Forex ni ishu ambayo imekaa Pyschologically zaidi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa akishaliuza utalipataje?!?Akiuza friji uniambie nalihitaji
Yeah heshima( nidhamu ya hali ya juu) na skills kujifunza/ kujua/ kuelewa ni rahisi ila hivyo heshima na skills kwenye shughul yenyewe tena skillis ''at finger tips", et bank hawataki mtu aijueππ, kifupi wapo traders wenye uzoefu mkubwa walioishia kufilisika, ama kufilisi mitaji ya benki na wengine kuishia magerezani, kwa kukosa hasa nidhamu, naendeelea panga nyanya zangu kwani pesa naiona ππ forex bila "at least a hedge" daaah, Tchao Muuza nyanyaMaajabu ya hii biashara ya forex ni kwamba watu wasiotrade ndo wana machungu ya kupoteza pesa kuliko wanaotrade, hao ndugu zenu wanaouza nyumba kwa ajil ya forex hawatofanikiwa asilani, forex inataka heshima na skills
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh kweli wamepata cha moto mwaka huuWazalisha mali za korosho mbona wameomboleza vifo?
Kweli wasiotrade ndo wanaumia mno sijui kwa nnMaajabu ya hii biashara ya forex ni kwamba watu wasiotrade ndo wana machungu ya kupoteza pesa kuliko wanaotrade, hao ndugu zenu wanaouza nyumba kwa ajil ya forex hawatofanikiwa asilani, forex inataka heshima na skills
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo atakuwa alitumia pending order kutrade newzMy nigger Eminem wyne deposeted 80$ hoping to get 30$ from the market[it's NFP's news day] so that he'd've enough capital to trade next week [starting to Monday's night] but that day a market was verry funny to him in short the market take his hoping of gaining 30$+capital all the way to down lefting him said what the **** happened,but it'd had happened since then whenever he deposite dough market or broker takes it untill his last given up.anyway his broker was TEMPLER a scammer like one used by TMT those days.
Yuo should not invest money that you can't afford to loose mamaeeeeeeKabla ya kufanya biashara ya Forex huu ujumbe unapatikana kwa kila broker awapatie trader wake.. Sasa sijui kama nyie huwa mnaelewa kinachoandikwa hapo.