Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Ingia www.forexfactory.comMkuu itaje iyo Chanel. Wengine Bado tusikia sikia Bado tunakusanya maarifa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Alianza kama utani baada ya kurudi likizo ya semister ya mwisho huyu mshikaji wangu wa chuo sijui alikutana na nani huko kwao akamshauri kuhusu mambo ya forex,
Alivyorudi akanisimulia kuhusu hiyo inshu mi nilichomwambia ni kitu kimoja tu hiyo kitu ya forex mi nilishasoma sana mada zake huko Jamii forum kwa kina Ontario na kujua hasara na faida zake kuna watu wameunguza acount zao wanalia kilio cha mbwa koko hakunisikia,
Sasa bhana wale watu aliokutana nao huku wakawa wanamshauri anatoka dom to dar kwenye semina na darasa lao na kila akirudi story ni forex,forex na yeye,
Basi bhana miezi kadhaa imepita baada ya kutrade sana na ile acount ya dermal kafungua real Account kinachomkuta huko mi sijui naona tu kila siku anauza vitu,
Alianza na Laptop yake min, akafata desk top yake ,juzi kati kauza mtungi mkubwa wa gase pamoja na jiko lake, naona kabakiwa na friji pamoja na kitanda na ata hivyo naona analipigia mahesabu friji anataka kuliuza na hilo sasa sijui kimempata nini huko kwenye forex,
Daily nampa ushauri aachane na hiyo biashara yake ya forex naona hanisikii sasa mi nasubiri kuona mwisho wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unapata tabu tupu..ukitaka kujua uhalisia wa mtu usipate tabu jaribu kurudi nyuma kwenye nyuzi zake.Mkuu mbona ni yaleyale tena...mi nikajua unanipa madini kwa ufupi hapa kuhusu pesa inaenda wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaaFOREX sio ya Kujiingizia pesa kwa Kuotea...
FOREX ni hatari mara 100 ya Betting...
FOREX inahitaji usomee hasa na uelewe nini Unafanyaa...
FOREX haiwezi kuwa kimbilio la kijana maskini wa kitanzania hata Siku moja!
FOREX SIO MCHEZO SITAKI KABISA KUJARIBU
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio daudEURUSD????Kabla ya kufanya biashara ya Forex huu ujumbe unapatikana kwa kila broker awapatie trader wake.. Sasa sijui kama nyie huwa mnaelewa kinachoandikwa hapo.
Yaani mtu mzima unafananisha Ujinga ujinga na upuuzi wa Qnet na Forex ?? Biashara ambayo ni halali kwenye nchi ya dunia za kwanza miaka na miaka. Hiyo Qnet ni pyramid scheme bussines ambayo katika nchi kama marekani ni kosa la jinai kufanya Ponzi bussines na ukikamatwa ni kifungo.
Ninachojifunza hapa, watanzania ni wavivu wa kutafuta maarifa kabisa. Hufanya maamuzi kwa kusikia watu wanasema nini. Mtu akisikia Deci anaenda. Akisikia D9 anaenda . Akisikia Forex anaenda ila hana sababu zake za kiutafiti kwanini kafanya hayo maamuzi.
Amini nakwambia ukifanya utafiti wako kuhusu biashara ya forex bila kuwa bias utakuja kunitafuta siku moja. Kama una king'amuzi cha Dstv weka channel namba 411 (Bloomberg Tv) naamini utaelewa Forex ni nini.
Sasa Kama MTU anasema forex ni utapeli hivi ukisikia biashara ya stocks, commodities, indices na shares si ndio mtasema ni ujambazi. Hebu nikusaidie tafuta gazeti la either The citizen au Daily News nenda kwenye ukurasa wa bussines utakuta FOREX,INDICES,SHARES & commodities zinachambuliwa vyema kabisa.
Maarifa Maarifa Maarifa .... Tafuteni maarifa. Inauma sana mwaka 2019 bado kuna kiumbe duniani anasema FINANCIAL MARKETS ni utapeli . Bado kuna mtu anashidwa tofautisha Marketing Network na Financial Markets.
View attachment 982938
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha na akili zako ukapeleka hela bitclub hahahahaha , hii nchi ina wagonjwa wa akili , yaani ukishindwa hata ingia google usome zaidi Nini maana ya hiyo bitclub....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu... Siwezi kabisaa!! Nilijaribu kusoma mara 2 lakini kila nkisoma sielewi.. Mara pip sijui nkasema niombe nipigwe pindi jamaa akatala laki na nusuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo ndo nkajisemea mchezo usiuchezee kabisaaa huu... Yani nitoe pesa nijifunze namna ya kupoteza pesaa tenaa bora nibet tu mkuuuHahahahaa
Man,play that game maybe can be your chance to be the youngest billioner in Tanzania
Wanachezaje hiyo Forex Naomba nielekezwe Nijaribu Bahati Yangu.
Duuh umeliwasiwezi kumsahau huyu T.O ontario nilishawishika nika trade ada yote nikiwa kampala M.d duh saivi nasota mtaani tu.Maku sana Ontario kaniharibia maisha jumla jumla.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siwezi kumsahau huyu T.O ontario nilishawishika nika trade ada yote nikiwa kampala M.d duh saivi nasota mtaani tu.Maku sana Ontario kaniharibia maisha jumla jumla.
Chuoni Kuna jamaa angu ndio anataka atumie hela ya ada eti aizalishe kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app