Kutajirishwa kwa muda mfupi aiseeeee....Je ungependa kuifahamu na kujifunza kuhusiana na forex trading biashara ambayo inaweza kukutajirisha kwa muda mfupi [emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]
Jiunge sasa na group hili la whatsapp uweze kupata msaada kuhusiana na forex.. Ni bureeee kabisaa
Fx_Money Makers
Hawa ndio huwa nawaita matapeli wa Forex. Huwezi tajirika kwa muda mfupi kwenye forex. Forex sio get rich scheme.Je ungependa kuifahamu na kujifunza kuhusiana na forex trading biashara ambayo inaweza kukutajirisha kwa muda mfupi [emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]
Jiunge sasa na group hili la whatsapp uweze kupata msaada kuhusiana na forex.. Ni bureeee kabisaa
Fx_Money Makers
Usdchf... Naomba muende kwenye mt4 zenu muhakikishe nilichosema..Kwa mwenye roho ngumu twende pamoja kwenye usdchf, Sell. Tukutane baadae
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acheni utapeli asee ninyi ndo mnasababisha Fx ionekane kama uganga kutoka Sumbawanga, Fx haina garantii kumletea mtu utajiri namna hiyo.Je ungependa kuifahamu na kujifunza kuhusiana na forex trading biashara ambayo inaweza kukutajirisha kwa muda mfupi [emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]
Jiunge sasa na group hili la whatsapp uweze kupata msaada kuhusiana na forex.. Ni bureeee kabisaa
Fx_Money Makers
Daah alisema jana Daudi Jpy itakuwa strongUsdjpy pair imeshuka balaa
Wanaotrade pullbacks halafu wanahold halafu hawatumii sl watakuwa wamechoma account hadi siyo vizuri. Haya kama unatumia lot size ya 0.01. all XXXJPY was strongly selling toka week iliyopita.Usdjpy pair imeshuka balaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ok mkuuMkuu acheni utapeli asee ninyi ndo mnasababisha Fx ionekane kama uganga kutoka Sumbawanga, Fx haina garantii kumletea mtu utajiri namna hiyo.
Huijui hii biashara na siku ukiifahamu hutaandika tena huu upupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimesoma snaa ilaa Sijaelewa kitu Kimoja tu...Shida kila kitu mnataka mfundishwe mbona sisi wengine tumekomaa wenyewe..... Internet inafanya kazi gani sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Thats right [emoji23][emoji23]Hahaaa
Yaani Watanzania wanashangazaa, mtu kasoma kabisaaaaaaaaaaa IFM mambo ya finance halafu mambo ya Forex anasema ni utapeli, jitu linafanya kazi benki miaka kumi na tano experience na lina CPA lakini linakuambia Forex ni utapeli yaani unaweza ukalizabua makofi kwa hasira aseee basi tuu. Majitu yapo mjini lakini utadhani yanaishi kijijini kwa jinsi yalivyozubaa. Tuko ktk information age mtu akikuambia kitu cha manufaa kwa nini usiingie ktk the biggest library google uujue ukweli? Daaah Waafrika!!!!!!!!
Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Hili suala lizingatiwe sana wana jukwaa.. msaidieni huyuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Dah mpaka hapa inabidi tu uendelee kusoma, ila km unasoma peke yake tu bila kupractise kwenye demo itakuwa kazi bure...Mkuu nimesoma snaa ilaa Sijaelewa kitu Kimoja tu...
WAKATI GANI NIFANYE SELL NA WAKATI GANI NIFANYE BUY... NAMNA YA KUWEKA PESA HUKOO PIA
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah nyumba ikachukua jina la bwana ontalioMdogo wangu kauza nyumba mwanza nyakato kwa huu upuuzi, nilimkataza lkn wapi mwisho wa cku nyumba ikaitwa Forex
Sent using Jamii Forums mobile app
Sizungumzii forex bali hilo jina au neno "walokole au ulokole". Neno hilo halina maana wala uhusiano na sisi TULIOMKIRI NA KUMPOKEA YESU KRISTO ALIYE HAI KAMA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YETU. Hilo ni jina au neno analotumia Shetani na mawakala wake kutaka kuudharirisha WOKOVU WETU. Na kwa kweli kwa kiasi fulani kafikia lengo lake ingawa hatafanikiwa milele. Sisi SIO WALOKOLE bali SISI NI WANA WA MUNGU TULIOPOKEA NEEMA YA WOKOVU, NI WATU TULIO OKOKA.Forex ni kama ulokole tu.
Mniwie radhi walokole wote humu sina maana ya kuwakashifu.
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Mkuu kama hujajua ni wakati gani wa kusell au kubuy basi usianze kufikiria kuweka hela huko, seek knowledge firstMkuu nimesoma snaa ilaa Sijaelewa kitu Kimoja tu...
WAKATI GANI NIFANYE SELL NA WAKATI GANI NIFANYE BUY... NAMNA YA KUWEKA PESA HUKOO PIA
Sent using Jamii Forums mobile app
Alianza kama utani baada ya kurudi likizo ya semister ya mwisho huyu mshikaji wangu wa chuo sijui alikutana na nani huko kwao akamshauri kuhusu mambo ya forex,
Alivyorudi akanisimulia kuhusu hiyo inshu mi nilichomwambia ni kitu kimoja tu hiyo kitu ya forex mi nilishasoma sana mada zake huko Jamii forum kwa kina Ontario na kujua hasara na faida zake kuna watu wameunguza acount zao wanalia kilio cha mbwa koko hakunisikia,
Sasa bhana wale watu aliokutana nao huku wakawa wanamshauri anatoka dom to dar kwenye semina na darasa lao na kila akirudi story ni forex,forex na yeye,
Basi bhana miezi kadhaa imepita baada ya kutrade sana na ile acount ya dermal kafungua real Account kinachomkuta huko mi sijui naona tu kila siku anauza vitu,
Alianza na Laptop yake min, akafata desk top yake ,juzi kati kauza mtungi mkubwa wa gase pamoja na jiko lake, naona kabakiwa na friji pamoja na kitanda na ata hivyo naona analipigia mahesabu friji anataka kuliuza na hilo sasa sijui kimempata nini huko kwenye forex,
Daily nampa ushauri aachane na hiyo biashara yake ya forex naona hanisikii sasa mi nasubiri kuona mwisho wake.
Sent using Jamii Forums mobile app