interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Zipo nyingi tu hizo biashara, kwani hakuna biashara za kuweka pesa kwenye FIXED ACCOUNT afu ukavuna faida baada ya miezi, mwaka na miaka?Biashara ambayo umeweka tu hela eti unategemea ijizalishe ulitegemea nini kikupate.... hakuna hela rahisi duniani.... hata forex siyo hela rahisi wala haina nature hiyo ya bitclub advantage...
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha waendelee kusubiri,,,, Yaani mtu ukae tu umepumzika halafu mwanaume mwenzio anakutafutia hela.... acha tu waliwe aiseeee.... maana wameamua kuzitumia akili zao kuvukia barabara tu...Kuna wahanga kibao wa BITCLUB ADVANTAGE mpaka leo bado wana matumaini eti itarudi. Ni sawa na kwenda ferry kuisubiri drimulaina ije.
Is not a matter of kuwa msomi hata hata Phd holder anaweza kula mkenge kwenye forex vizuri kabisa...Kwahiyo kwa maana nyepesi tuseme forex ni biashara ya wasomi au sio!
Ahsante sana mkuu, ila upi ushauri wako juu ya hili wazo langu?tafuta ule uzi wa Ontario una kila kitu mle ndani pambanua mchele pumba pembeni kuna vitabu pia mle
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kuna vitu natamani kushare humu ila naona michosho tu. Natamani mtu aache forex kwa justifiable Reasons na sio blablabla za kujazana ujinga wakati hii ni fursa ambayo naamini vijana wengi kama tungejifunza vizuri ingekuwa ni fursa ya kujiajiri.Mzee baba nasikitika mnoo kuona hawa ndo wasomi wetu aisee watu wanafanya maamuzi kwa hisia binafsi forex ndo inanipa sababu za kuishi kabla sijaanza kidogo ndoa yangu ivunjike ila inenuchukua mwaka mzima kumfanya wife aache kazi na nikampa mtaji wa m 20 na sijuwahi kumuomba hata shilling anabaki kushangaa tuu Forex inahitaji mpambanaji anaejitambua na anaejua anachofanya siyo get rich quick
Sent using Jamii Forums mobile app
OK, nimekusoma mkuu wacha niunganishe Dot.Is not a matter of kuwa msomi hata hata Phd holder anaweza kula mkenge kwenye forex vizuri kabisa...
Forex ni ishu ambayo imekaa Pyschologically zaidi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nasema tena watu wengi wanakurupuka wakisikia tu biashara fulani.Zipo nyingi tu hizo biashara, kwani hakuna biashara za kuweka pesa kwenye FIXED ACCOUNT afu ukavuna faida baada ya miezi, mwaka na miaka?
Huwezi kuweka hisa kwenye makampuni kama cigarettes na TBL ukanufaika faida tele kwa muda utaokusudia kwenda kutoa baadaye?
Acha kukariri maisha kijana, amka usingizini maana 2019 ni mwaka wa mafanikio kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nasema tena watu wengi wanakurupuka wakisikia tu biashara fulani.
Hivi faida mliyokuwa mnapata Bitclub advantage inafanana na Mtu anayenunua hisa au mtu aliyeweka hela kwenye fixed account??
Halafu kama mtu ananunua hisa, obvious huko anakununua hisa hiyo kampuni lazima iwe na regulator wake, Hata ukiweka hela Bank kwenye fixed account, banks zote zipo regulated na BoT.
Hebu niambie hiyo hiyo Bitclub advantage ilikiwa regulated na nani???
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika Mods wako 50 to 50 hawajui wafanye niniHawa FOREX si kuna kurasa humu wanamatangazo yao. Wanakuona unawaharibia biashara yao.
Nahisi mods wanauchungulia huu uzi wanashindwa waegemee kwenye biashara au UWAZI
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes Baba huwa napenda kutia neno pale ninapoona panastahili kutiwa neno.Naona Mr Forex umekuja....
Achana nao si tupige kaziYaani kuna vitu natamani kushare humu ila naona michosho tu. Natamani mtu aache forex kwa justifiable Reasons na sio blablabla za kujazana ujinga wakati hii ni fursa ambayo naamini vijana wengi kama tungejifunza vizuri ingekuwa ni fursa ya kujiajiri.
Mkuu hapa Tanzania kuna Kijana anamiaka 21, anaishi karikaoo. Ana capital ta USD 30,000. Yaani zaidi ya million 60 za kitanzania. Zote hizo amezipata kwa kujituma kwenye Forex.
Niliwahi kuandika humu hii tabia ya utitiri wa WALIMU uchwara wa forex ndio unaoichafua Forex . WALIMU hawa Wanawaharibu watu kuanzia kwenye psychology kuwa ni Get Rich bussines which is wrong. Zaidi ya 70% ya mafanikio ya Forex ni kwenye psychology. MTU akikuharibu hapo hata ujue mbinu zote za soko ni kazi bure. Kama alivyofanya Ontario kutuambia forex ni mwendo wa kudownload Pesa na baada ya watu kuingia mzigoni wakakuta mambo sio.
.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap,mi nafanya naogopa kucheza.Nashangaa hili neno kucheza linavotumika... probably ndo maana watu hawafanikiwi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na watu wa vortex mmeshapigwa jipaneni upya.Hisa uwe na mpunga wa kutosha hv kiasi, Bitclubadvantage wana website yao na ni business pana tu(Worldwided) hata BBC huwa wanaielezea kiundani.
So jiongeze ww mwenyewe kuingia kwenye website ujikite kwa faida zako binafsi.
Lkn kwangu mm ni NO
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kibaruani kwangu kuna mtu anawazoa watu kuwaunganisha huko FOREX mi nligoma kwakua siijui hio biashara ila waliounganishwa siwaoni kama wana nyuso za uchangamfu. Nahisi inataka kufanana na FOREVA LIVING
Sent using Jamii Forums mobile app