Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Yupo jamaa yangu naye kaingia forex kichwa kichwa... Hajafanya demo wala nini nikaona vimichoro vya forex kwenye simu yake nikamuuliza umeingia forex...!?

Akasema ndio... Nkamuuliza unaijua vizuri akasema anajua.. ni nani anakufundisha akakaa kimya..

Nikamwambia hakuna pesa ya kudonwload.. akawa kaweka 40,000... Naye akawa na imani atapata million.. et ananambia napishana napesa..

Siku chache anasema kaunguza account [emoji1787][emoji1787] nkamuuliza vp et nimesimama kidogo...!!!!

Sijawahi muona tajiri wa forex wengi wanashughuli zao za pembeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kila mtu na mawazo yake mimi ukiniambia niache forex ni sawa na kuninyonga tena kwa mateso makali pamoja na changamoto zote lakini sa hv inanuchukua hadi nafikisha miezi mitatu sijaenda bank kuchukua mshahara nina balance ya $2000 na taget yangu ni 5% kwa siku hebu niambie napata sh ngap kwa mwezi maisha ni raha sana aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya kazi halali, acha janjajanja! Unalaghai watu hapa, nyie ni mijambazi hatari sana zaidi ya wanaotumia silaha za moto. Mnabore nyie!!! yaani mnabore, tena mkome na mlegee,ACHA UWIZI!, ningekuwa na uwezo ningekutandika makofi humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika vitu ambavyo sijajaliwa kuvifuatilia, forex ni kimoja wapo.
 
Fanya kazi halali, acha janjajanja! Unalaghai watu hapa, nyie ni mijambazi hatari sana zaidi ya wanaotumia silaha za moto. Mnabore nyie!!! yaani mnabore, tena mkome na mlegee,ACHA UWIZI!, ningekuwa na uwezo ningekutandika makofi humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba uniambie Leo umeingiza kiasi gani !!

Hiyo nimeingiza Leo , Mimi tapeli.
IMG_20190103_212547.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forex ipo poa..labda shida ni kuwa inahtaji elimu sio kitoto...na usiwe muoga wa hasara...kupoteza had mil 200 kwenye forex ni jambo la kawaida sana....cha msingi ni kuwa update na currency husika, factor for rise or fall...hapa inahtaj shule ya uchumi tena shule hasa zaid ya chuo..ila ukiivalia njuga na ukapoteza md wako lazima utatoboa tuu..japo inahtaj uvumilivu kdog....kuna jamaa hapa Mwanza kapiga mil 100 usiku mmoja aisee akiwa amekaa na pc yake..looooh
 
Acha utapeli, waambie watanzania ukweli,..s.h.w.a.i.n eti nimeingiza sh ngapi??!!mipichapicha yako hainitishi hapa, watumie familia yako,mimi inaninufaishaje?, kha!

Sent using Jamii Forums mobile app
We jombaa kweli ni mbishi sana. Jamaa ktk screenshot yake ya mt4 kakuonesha mpaka tarehe na saa alipotrade ila bado ni mbishi tu. Sasa ulikuwa unataka proof gani kutoka kwake ili uamini kama ni kweli.
 
Achana na huyo fukara wa akili Mwenye kichwa kilichojaa makamasi. Haelewi kitu , ni kama limsukule. Such a walking dead man on the Moon.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forex ipo poa..labda shida ni kuwa inahtaji elimu sio kitoto...na usiwe muoga wa hasara...kupoteza had mil 200 kwenye forex ni jambo la kawaida sana....cha msingi ni kuwa update na currency husika, factor for rise or fall...hapa inahtaj shule ya uchumi tena shule hasa zaid ya chuo..ila ukiivalia njuga na ukapoteza md wako lazima utatoboa tuu..japo inahtaj uvumilivu kdog....kuna jamaa hapa Mwanza kapiga mil 100 usiku mmoja aisee akiwa amekaa na pc yake..looooh
Mkuu akili ndogo za humu ukiziambia haya zitaishia kukuita na ww ni tapeli una tafuta wateja wa kuwatepeli.

Kitu watu wahajui ni kuwa forex ni biashara sema inahitaji akili kuliko biashara hizi za kawaida watu wamezoea na wtz wengi hawako tiari kujifunza na ndo maana wengi wananyoywa mavi baada ya kuingia kichwa kichwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alianza kama utani baada ya kurudi likizo ya semister ya mwisho huyu mshikaji wangu wa chuo sijui alikutana na nani huko kwao akamshauri kuhusu mambo ya forex,

Alivyorudi akanisimulia kuhusu hiyo inshu mi nilichomwambia ni kitu kimoja tu hiyo kitu ya forex mi nilishasoma sana mada zake huko Jamii forum kwa kina Ontario na kujua hasara na faida zake kuna watu wameunguza acount zao wanalia kilio cha mbwa koko hakunisikia,

Sasa bhana wale watu aliokutana nao huku wakawa wanamshauri anatoka dom to dar kwenye semina na darasa lao na kila akirudi story ni forex,forex na yeye,

Basi bhana miezi kadhaa imepita baada ya kutrade sana na ile acount ya dermal kafungua real Account kinachomkuta huko mi sijui naona tu kila siku anauza vitu,

Alianza na Laptop yake min, akafata desk top yake ,juzi kati kauza mtungi mkubwa wa gase pamoja na jiko lake, naona kabakiwa na friji pamoja na kitanda na ata hivyo naona analipigia mahesabu friji anataka kuliuza na hilo sasa sijui kimempata nini huko kwenye forex,

Daily nampa ushauri aachane na hiyo biashara yake ya forex naona hanisikii sasa mi nasubiri kuona mwisho wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU,

HEBU NIULIZIE FASTA HILO FRIJI ANALIUZA BEI GANI,

NINA SHIDA NALO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaaa
Ushamba mbaya sanaaaaa
Yaani mtu unamiliki smartphone tena yawezekana na pc lakini hujui kutafuta maarifa kama ya Fx na mengine unaishia kuponda kitu ambacho haaata hukijui asee ni uzuzuuu. Tuko kwenye information age jamanii maarifa unayatafuta mwenyewee na mengine yanakujia tushatoka kwenye iron age ktambooo lakin baadhi ya watu bado wapo huko.
Tuachane na fikra za eti kutengeneza hela ni mpaka jasho likutoke eti, mambo hayo yalishapitwa na wakati tangu enzi za baba na mama zetu.
Stop working hard and start working smart. Watu wanatengeneza hela wamelala wewe hadi ukalime tembele wapi na wapi!! Lakini mwisho wa siku lazima tufanye kazi za kuzalisha ili maisha yaende japo vijana hasa wa Kiafrika mitaji inakosekana na Fx inaweza kukupatia chochote kitu ukaapata nguvu ya ka mradi ka ng'ombe wa maziwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu akili ndogo za humu ukiziambia haya zitaishia kukuita na ww ni tapeli una tafuta wateja wa kuwatepeli.

Kitu watu wahajui ni kuwa forex ni biashara sema inahitaji akili kuliko biashara hizi za kawaida watu wamezoea na wtz wengi hawako tiari kujifunza na ndo maana wengi wananyoywa mavi baada ya kuingia kichwa kichwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom