Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,397
Anataka aende naye benki amtolee na kapesa kidogo akamfanyie shopping, maana ana jazba km nini vileWe jombaa kweli ni mbishi sana. Jamaa ktk screenshot yake ya mt4 kakuonesha mpaka tarehe na saa alipotrade ila bado ni mbishi tu. Sasa ulikuwa unataka proof gani kutoka kwake ili uamini kama ni kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app