Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
We jombaa kweli ni mbishi sana. Jamaa ktk screenshot yake ya mt4 kakuonesha mpaka tarehe na saa alipotrade ila bado ni mbishi tu. Sasa ulikuwa unataka proof gani kutoka kwake ili uamini kama ni kweli.
Anataka aende naye benki amtolee na kapesa kidogo akamfanyie shopping, maana ana jazba km nini vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata watu wa bitcoin wanaweza kukuconvice ktkt bitcoin wanakuonesha magari ya kifahari ,mansions,yatchs n.k. ktk biashara. Sasa watu wa forex aje mtu atuone

Hata mtu akitaka kukushauri ulime anaweza kukwambia mwaka jana nilikua na shamba ekari kadhaa nikalima kitu flani nikavuna nikauza nikapata pesa kiasi kadhaa.nikanunua gari au nyumba n.k.
Nyie ndo rahisi sana kuhadaiwa, ndomana mnapigwa pesa kichwa kichwa, mtu kukuonesha mafanikio yake haimaanishi na wewe utapata mafanikio hayo hayo, akikuonesha leo ana magari na manyumba unajua kwa huko kabla alipoteza nini akaingia madeni kiasi gani, hata anayelima akakwambia mwaka jana nimepiga hekari sita nikapata milioni 400 mauzo unajuaje amehangaikaje, usiangalie mafanikio ya mwisho angalia struggles mkuu, unaweza ukapata siku umetrade slot moja tu ukavuna milioni 100 ila kuna siku ulitrade ukapoteza akaunti nzima na ya jirani, so angalia struggles, not success, utaangukia pua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah. Huwa najiuliza watu wa forex wanasifia kila siku. Aje mtu hapa atuambie tangu yupo ktk forex amepata nini?kuna watu duniani kama 50 cent walikua na bitcoin na wana mali nyingi hao wanaweza kukushawishi.
Kifupi watu wa forex aje mtu atuambie ana nn i.e mali,pesa n.k alizopata ktk forex .tofauti na hapo kwa upande wangu naona ni hadithi za kusadikika.
Duuh huyo 50 cent alikuambia ana Mali kiasi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ndo rahisi sana kuhadaiwa, ndomana mnapigwa pesa kichwa kichwa, mtu kukuonesha mafanikio yake haimaanishi na wewe utapata mafanikio hayo hayo, akikuonesha leo ana magari na manyumba unajua kwa huko kabla alipoteza nini akaingia madeni kiasi gani, hata anayelima akakwambia mwaka jana nimepiga hekari sita nikapata milioni 400 mauzo unajuaje amehangaikaje, usiangalie mafanikio ya mwisho angalia struggles mkuu, unaweza ukapata siku umetrade slot moja tu ukavuna milioni 100 ila kuna siku ulitrade ukapoteza akaunti nzima na ya jirani, so angalia struggles, not success, utaangukia pua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maana hiyo forex ni kama bahati na sibu?kwa hiyo unastruggle halafu huna uhakika wa kupata kitu inatokea by chance ?kifupi tunaangalia umepata nn na si umehangahika vp.yani unaleta utetezi wa kwamba nimekosa lakini nimefanya kazi sana?hiyo haipo.we checked what u have achieved n not your struggles.
 
Nimejaribu kukuelewesha, unajaribu kubishana, fuatilia kila tajiri unayeona ww amefanikiwa amepitia wapi ndo point yangu, km hujaelewa bado basi kila la heri, sio kila mtu ana akili na busara zinazofanana, wengine mmeumbwa km mlivyo maskini ya Mungu.

Nyinyi ndo wale oo mimi nimesoma sana.unaambiwa lete vyeti huna. Lete proof .
 
Nyinyi ndo wale oo mimi nimesoma sana.unaambiwa lete vyeti huna. Lete proof .
Una jazba sana mkuu, upo kwenye zile steps za adolescent nini, maana kupembua huwezi, we ni binadam mwenye akili timamu, ukitaka waliofanikiwa kuna dogo mmoja wa south africa ana historia kabisa kaiweka hadi youtube na ameanzisha trading firm yake, jina lishanitoka, na ameshafanyiwa mahojiano, ameongelea step by step hadi alivyofanikiwa, so look for him, nategemea kama una akili utafanyia kazi sio unicomment utoto, do your homework,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi ndo wale oo mimi nimesoma sana.unaambiwa lete vyeti huna. Lete proof .
Huyu hapa Sandile Shezi akihojiwa na kituo cha CCTV.

Link hii hapa unaweza kwenda kumcheki Live.

Najua Kuna mengi utajifunza huko. Nimekuwekea na picha uone Namna CCTV wamechambua kidogo biashara ya Forex.
IMG_20190105_112917.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata matajitri wakitaka watu watoke ktk umaskini huwa wanaeleza walipotoka mpaka walipofika ktk utajiri. Walianzaje ,walifanya nn mpaka wakapata utajiri. Hapa ni sawa sawa na mtu anakwambia nina bilioni moja ipo benki halafu ana maisha ya kawaida tu.
Ili na sisi tuingie ktk forex naomba atokee mtu atueleze tangu alipoanza forex na mafanikio aliyopata mpaka sasa. Unless otherwise watuambie unapata pesa ya kawaida tu ambayo mtu wa kawaida anapata na si kutuaminisha kwambwa forex itakufanya uwe tajiri.hizi usd 6000 ,7000 ni pesa za kawaida kwa mtu anayefanya business.
Hamna MTU anayetaka ww ufanye biashara ya forex.

Kuwa mwelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maana hiyo forex ni kama bahati na sibu?kwa hiyo unastruggle halafu huna uhakika wa kupata kitu inatokea by chance ?kifupi tunaangalia umepata nn na si umehangahika vp.yani unaleta utetezi wa kwamba nimekosa lakini nimefanya kazi sana?hiyo haipo.we checked what u have achieved n not your struggles.
Shughuli gani siyo bahati na sibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom