Mshikamano wa Viongozi wa CHADEMA ndio nguzo kuu ya chama chao

Mshikamano wa Viongozi wa CHADEMA ndio nguzo kuu ya chama chao

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hili tumewahi kuliandika humu na tunarudia tena, kwamba hata Mchawi hawezi kupenya kwenye jambo la pamoja, mkishaweka msimamo wa pamoja hata iweje hamuwezi kuhujumiwa.

Hiki ndicho kimeifanya CCM iendelee kuitumainia Polisi kwa miaka yote, Chadema ni kisiki cha mpingo

Pichani ni viongozi kadhaa wa Chadema wakiwa kwenye Kasri la Bilionea Freeman Mbowe huko Machame.

Screenshot_2023-11-12-19-35-48-1.png
Screenshot_2023-11-12-19-36-40-1.png
Screenshot_2023-11-12-19-36-43-1.png

Angalizo: Utajiri siyo dhambi na Wala umasikini au Unyonge hautakufikisha Mbinguni.
 
Habari ya mjini sasa hivi ni Paul Makonda hao wahuni ambao familia zao ni raia wa nchi za wazungu wameshapitwa na wakati.

Kwanza Mbowe na Lisu wana laana ya Magufuli
 
Hata kama mnawachukulia wanachama wenu kama manyumbu ni muhimu sana wapewe tu mrejesho wa fedha za join the chain zipo wapi? Zilikusanywa na kupatikana shilingi ngapi na zilifanyia kazi ipi?

Nimeona niwaambie haya maana wanachama wenu wananisumbua sana wakiomba niwafikishie ujumbe viongozi wa CHADEMA kupitia jukwaa hili.wanasema wao wanaogopa kusema maana mwenyekiti alishasema kuwa sumu haionjwi kwa ulimi.
 
Pichani ni viongozi kadhaa wa Chadema wakiwa kwenye Kasri la Bilionea Freeman Mbowe huko Machame .

View attachment 2811838View attachment 2811839View attachment 2811841

Angalizo : Utajiri siyo dhambi na Wala umasikini au Unyonge hautakufikisha Mbinguni .
Duh! Nimeupenda huo mjengo, maana ukiiangalia huo mjengo na hapo ni kijijini, halafu uki imagine ofisi ya chama pale Ufipa, ni kama mbingu na nchi! Nilidhani Elections 2015 - Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio! kumbe I was wrong.

Hakuna ubaya Mwenyekiti Mbowe akajitolea kuwajengea ofisi yenye hadhi Chadema!

P
 
Hata kama mnawachukulia wanachama wenu kama manyumbu ni muhimu sana wapewe tu mrejesho wa fedha za join the chain zipo wapi? Zilikusanywa na kupatikana shilingi ngapi na zilifanyia kazi ipi?

Nimeona niwaambie haya maana wanachama wenu wananisumbua sana wakiomba niwafikishie ujumbe viongozi wa CHADEMA kupitia jukwaa hili.wanasema wao wanaogopa kusema maana mwenyekiti alishasema kuwa sumu haionjwi kwa ulimi.
Bilionea Mbowe hategemei hela yako ya madafu
 
Habari ya mjini sasa hivi ni Paul Makonda hao wahuni ambao familia zao ni raia wa nchi za wazungu wameshapitwa na wakati.

Kwanza Mbowe na Lisu wana laana ya Magufuli
Mjini ya wapi we mshamba nini huyo mwenye vyeti feki nani anamshobokea kama si nyinyi machawa wake
 
Mkuu, watu tunataka mahesabu. Hata sisi tunajua mbowe amerithi pesa nyingi toka kwa baba yake, kwa hiyo issue siyo ubilionea wake!
Chama kiko imala, hiki hakitegemei kuchota pesa za serikali kujiendesha, kinaendeshwa kwa wanachama kwa asilimia kubwa wanaoumia ni watu kama wewe ambao kilasiku wanatalajia chama kitalegea wanastaajabu kinaimalika. Pesa zipo katika usalama ndo mana wanaolalamika pesa za CDM Zinaliwa ni CCM sio Chadema. Yani ndani ya Chadema hakuna malalamiko hoyo.
 
Duh...!, nimeupenda huo mjengo, maana ukiiangalia huo mjengo na hapo ni kijijini, halafu uki imagine ofisi ya chama pale Ufipa!, ni kama mbingu na nchi!. Nilidhani Elections 2015 - Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio! kumbe I was wrong.

Hakuna ubaya Mwenyekiti Mbowe akajitolea kuwajengea ofisi yenye hadhi Chadema!.
P
Pasco nipe location ya huo mjengo hapa nchini,nilifikiri ni ofisi yao mpya ya dar
 
Chama kiko imala, hiki hakitegemei kuchota pesa za serikali kujiendesha, kinaendeshwa kwa wanachama kwa asilimia kubwa wanaoumia ni watu kama wewe ambao kilasiku wanatalajia chama kitalegea wanastaajabu kinaimalika. Pesa zipo katika usalama ndo mana wanaolalamika pesa za CDM Zinaliwa ni CCM sio Chadema. Yani ndani ya Chadema hakuna malalamiko hoyo.
Taarifa ya mahesabu iko wapi? Acha porojo basi bwashee!
 
Hili tumewahi kuliandika humu na tunarudia tena , kwamba hata Mchawi hawezi kupenya kwenye jambo la pamoja ,mkishaweka msimamo wa pamoja hata iweje hamuwezi kuhujumiwa .

Hiki ndicho kimeifanya ccm iendelee kuitumainia Polisi kwa miaka yote , Chadema ni kisiki cha mpingo

Pichani ni viongozi kadhaa wa Chadema wakiwa kwenye Kasri la Bilionea Freeman Mbowe huko Machame .

View attachment 2811838View attachment 2811839View attachment 2811841

Angalizo : Utajiri siyo dhambi na Wala umasikini au Unyonge hautakufikisha Mbinguni .
Kwa habari hii umekengeuka! Si uzi wa kujenga bali kubomoa
 
Back
Top Bottom