Mshikamano wa Viongozi wa CHADEMA ndio nguzo kuu ya chama chao

Mshikamano wa Viongozi wa CHADEMA ndio nguzo kuu ya chama chao

Mbinu za kivita hizo!!!

Kule Mwanza hujaona mwana kondoo kapanda punda!!!

Kalaga bahoo

Mpanga Karata vizuri ndiyo Mshindi
Ungeeleza unayoyaona wewe ingetusaidia na sisi tusiojua hizi "mbinu za kivita" unazo ziona wewe.
Naona wewe ni mtu wa mipasho zaidi kama hiyo ya "Kalaga bahoo" kuliko lingine lolote la maana unaloweza kuchangia kusaidia hicho chama kifanikiwe kwenye majukumu yake.

"Mpanga Karata vizuri..." hizo karata umeziona wapi wewe?

Imenilazimu nitazame vizuri jina lako tena vizuri 'Babu bul', maana sijawahi kukuona kabla ya hapa.
 
Nyumba za halali za Viongozi wa Chadema hazijawahi kuwa siri . kwa akili hizo nikionyesha nyumba yangu ya Tandika Mwembeyanga humu bila shaka utataka kuniloga .
EEEeeenHEEeeee!
Asikuchokoze huyo. Mtupie kapicha, anaweza hata akazimia moja kwa moja.
 
Ungeeleza unayoyaona wewe ingetusaidia na sisi tusiojua hizi "mbinu za kivita" unazo ziona wewe.
Naona wewe ni mtu wa mipasho zaidi kama hiyo ya "Kalaga bahoo" kuliko lingine lolote la maana unaloweza kuchangia kusaidia hicho chama kifanikiwe kwenye majukumu yake.

"Mpanga Karata vizuri..." hizo karata umeziona wapi wewe?

Imenilazimu nitazame vizuri jina lako tena vizuri 'Babu bul', maana sijawahi kukuona kabla ya hapa.
Wewe Peniseli vipiiii!

Pilipili zi shamba zakuwashia Nini
 
9f059fb1-9de3-4390-a0e2-ebd2e88861a4.jpg
 
Hili tumewahi kuliandika humu na tunarudia tena, kwamba hata Mchawi hawezi kupenya kwenye jambo la pamoja, mkishaweka msimamo wa pamoja hata iweje hamuwezi kuhujumiwa.

Hiki ndicho kimeifanya CCM iendelee kuitumainia Polisi kwa miaka yote, Chadema ni kisiki cha mpingo

Pichani ni viongozi kadhaa wa Chadema wakiwa kwenye Kasri la Bilionea Freeman Mbowe huko Machame.

Angalizo: Utajiri siyo dhambi na Wala umasikini au Unyonge hautakufikisha Mbinguni.
Sasa Kazi ya Ruzuku imeonekana Rasmi!
 
Tokea nimeona hili jumba na kufahamu lipo Africa, katika nchi ya Tanzania, Mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Hai, kitongoji cha Machame....
Nimepata nguvu ya ajabu ya kuyashinda maisha.....

1699916550353.png
 
Hata kama mnawachukulia wanachama wenu kama manyumbu ni muhimu sana wapewe tu mrejesho wa fedha za join the chain zipo wapi? Zilikusanywa na kupatikana shilingi ngapi na zilifanyia kazi ipi?

Nimeona niwaambie haya maana wanachama wenu wananisumbua sana wakiomba niwafikishie ujumbe viongozi wa CHADEMA kupitia jukwaa hili.wanasema wao wanaogopa kusema maana mwenyekiti alishasema kuwa sumu haionjwi kwa ulimi.
Stupidity at its highest level.
Pale idadi ya watu wenye fikra za aina yako inapoongezeka ndipo taifa hilo linapo fika katika ukingo wa kuelekea kuangamia.
 
Duh! Nimeupenda huo mjengo, maana ukiiangalia huo mjengo na hapo ni kijijini, halafu uki imagine ofisi ya chama pale Ufipa, ni kama mbingu na nchi! Nilidhani Elections 2015 - Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio! kumbe I was wrong.

Hakuna ubaya Mwenyekiti Mbowe akajitolea kuwajengea ofisi yenye hadhi Chadema!

P
Mayalla hata wewe umefikia this level? TOO LOW!
Nashindwa kujua hii akili ya aina hii ni matokeo ya Kujiunga kindaki ndaki na CCM au unakunywa sana pombe kupindukia hivyo kuwa mlevi?
Hizi sio akili za mwandishi mkongwe na mahiri ambaye pia ni mwanasheria msomi.
 
Mkuu, watu tunataka mahesabu. Hata sisi tunajua mbowe amerithi pesa nyingi toka kwa baba yake, kwa hiyo issue siyo ubilionea wake!
Kwa hiyo ma CAG wote waliokuwa wanapitia hesabu za chama kama za umma na kutoa hati safi ni waongo na sehemu ya ushirika na Mbowe?
Sikujua kuwa siku hizi JF imevamiwa kwa kiwango hiki na watu wa aina yako ambao naogopa kuwaita jina lao sahihi "wajinga".
 
Chama kiko imala, hiki hakitegemei kuchota pesa za serikali kujiendesha, kinaendeshwa kwa wanachama kwa asilimia kubwa wanaoumia ni watu kama wewe ambao kilasiku wanatalajia chama kitalegea wanastaajabu kinaimalika. Pesa zipo katika usalama ndo mana wanaolalamika pesa za CDM Zinaliwa ni CCM sio Chadema. Yani ndani ya Chadema hakuna malalamiko hoyo.
Kama huwezi kutofautisha l na r, usiandike kwa ajili ya jamii. Muandikie mpenzi wako tu. UNABOWA!!

imala, kinaimalika, wanatalajia
 
Kwa hiyo ma CAG wote waliokuwa wanapitia hesabu za chama kama za umma na kutoa hati safi ni waongo na sehemu ya ushirika na Mbowe?
Sikujua kuwa siku hizi JF imevamiwa kwa kiwango hiki na watu wa aina yako ambao naogopa kuwaita jina lao sahihi "wajinga".
Mahesabu yako wapi sasa? Ni uzezeta wa kiwango cha sgr kudhani kuwa porojo ndiyo mahesabu!
 
Back
Top Bottom