Mshikamano wa Viongozi wa CHADEMA ndio nguzo kuu ya chama chao

Habari ya mjini sasa hivi ni Paul Makonda hao wahuni ambao familia zao ni raia wa nchi za wazungu wameshapitwa na wakati.

Kwanza Mbowe na Lisu wana laana ya Magufuli
Binadamu yeyote aliyekufa kutokana na dua za Wananchi hana uwezo wa kumlaani yeyote
 
Walianza na Mungu watamaliza na Mungu
 
Cdm ni Taasisi yenye ushindi kwenye kila hatua ya ujuaji wake.
 
Nadhani zijengwe kwanza ngazi ya kata ,wilaya na mkoa baadae makao makuu ,dodoma na ofisi ndogo makao makuu dsm


Pole pole watafika ,ujenzi wa chama ngazi ya chini uendelee mana JUU kupo vizuri uonavyo makamanda na tabasamu zao
 
Angalizo : Utajiri siyo dhambi na Wala umasikini au Unyonge hautakufikisha Mbinguni .
Utajiri ni "dhambi" kama unatokana na kupandia migongoni mwa hao unaowaita maskini.
Leo hii tunaona viongozi wanavyo fuja mali zinazotakiwa kuwainua hao maskini; halafu tuseme hayo majizi hayakufanya dhambi?

Simzungumzii huyo unayemlenga wewe.

Hata hivyo. nyumba kama hiyo kijijini ni "dead capital." Haina manufaa yoyote.

Nitajibu ya "viongozi kuwa nguzo kuu" pembeni.
 
Sielewi unachozungumzia hapa, maanake umeweka kijumla jumla tu.

Lakini ninachojua, kwa uhakika ni kwamba mmekwisha ondolewa kwenye lile vugu vugu mlilo wahi kuwa nalo, la kuiondoa CCM madarakani.
Mlisha fanya kazi kubwa sana chini ya mazingira magumu sana, na dalili zilikwisha anza kujionyesha kwamba adhma yenu inaelekea kwenye lengo hilo.

Hayo yalikuwa ni ya wakati huo.

Ya wakati huu, ni dhahri kuna sumu iliyo mwagwa miongoni mwenu, iwatafune taratibu, na kuvuruga mipango ya kuiongoza nchi hii.
Matokeo yake tunayaona, hata kama mtayaficha na kuyakana kuwa hayapo.

Wakati ambapo mlikuwa mmefikia hatua ya kumsukuma mlevi (CCM) aishie korongoni, imegeuka na kuwa kama mlevi huyo huyo ndiye anaye waamurisha mfuate maagizo yake!

Mlevi anajiandaa na mbinu zile zile alizotumia miaka yote kumbakisha madarakani, lakini kwenu ni kama hamuoni wala kuelewa kinachofanyika, na hamjibidishi kujipanga kuzuia uhalifu huo.
Haya ni matokeo ya sumu mliyo nyweshwa. Mnabaki tu sasa mkituonyesha picha za viongozi wakifurahia maisha, badala ya kupambania maslahi ya nchi hii.

Inasikitisha.
 
Mbinu za kivita hizo!!!

Kule Mwanza hujaona mwana kondoo kapanda punda!!!

Kalaga bahoo

Mpanga Karata vizuri ndiyo Mshindi
 
Machame siyo Chato , kuna hata hotel za nyota kadhaa zilizojaa watalii
 
 
Habari ya mjini sasa hivi ni Paul Makonda hao wahuni ambao familia zao ni raia wa nchi za wazungu wameshapitwa na wakati.

Kwanza Mbowe na Lisu wana laana ya Magufuli
Magufuli aliyelaanika?
 
Rubbish and stupid, kwani CCM yako ina jengo hata moja? Yote ni majengo ya serikali na kuna mwaka yatarudi yote serikalini! Pascal Mayalla na kaelimu ulikona nako bado una argument za kitoto.......
 
Mbona Tundu Lissu hayupo hapo? Au ndio mshikamamo wenyewe huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…