Rubeho Mountaineer
New Member
- Sep 22, 2017
- 4
- 1
Wahenga, miaka ya zamani nikiwa kama msikilizaji nguli wa RTD kuna kipindi nilikuwa nakipenda sana kiliitwa Mshindi ni Nani.
Wakati kile kipindi kinaanza, kulikuwa na biti moja kali sana halafu unasikia kama mtu anapiga yowe "uuuuuwih...yau...yauyau" halafu ndo inakuja sauti ya kike kwa madaha kabisa inasema "mshindi nii naniiii".
Hivi kale kawimbo ndo sitakuja kukasikia tena, Nani aliimba kale kabiti kakali hivi.