Mshindi wa Big Brother Hotshots Idris Sultan Anunua nyumba ya kifahari

Mshindi wa Big Brother Hotshots Idris Sultan Anunua nyumba ya kifahari

Amekodishiwa tu jamani kama Wema alivyopewa
 
kesho ataibuka chief nanihii kudai nyumba yake....
 
kwa nini aisende nje ya jiji kununua plot na kujenga town house kama nne hivi..za kawaida kwa kutumia contractors then nyingine anapangisha then na miradi ya hapa na pale..ila hongera sana..huyu chalii yupo positive na ana uelewa mkubwa sana

Million miatano ni pesa ndogo kwa kwa kufanya unayo mshauri!
 
Mmmh kijana mrembo mtanashati kupewa nyumba na mwanaume mwenzie tena yule wa mrengo wa kulia loh inastua kidogo!
 
Mbona amepewa land na mapesa mengine na Rais Jakaya Kikwete,hamkusema lolote...huyu aliyempa nyumba ndio mnaropoka 😂😂😂😂😂...Idris,you are one lucky bast*ard,and I will love to marry YOU!!!

I see!!.....
 
Attachments

  • 1422107764911.jpg
    1422107764911.jpg
    58.2 KB · Views: 475
  • 1422107788328.jpg
    1422107788328.jpg
    63.2 KB · Views: 478
I bet the price he paid 4 this one he could have built himself a better house with his own plan.

Safi sana,ila mjengo kama haupo prime area vile,nyuma naona kama uswahilini au macho yangu? usikute kapigwa hadi 400m huo mjengo,angejenga yake,naona kama imechoka choka.
 
kama kapewa kuna makabidhiano ya hati au isije ikawa kama ya gurumo kadi ya gari anayo ruge.
 
duh kapewa? jamaa ataliwa huyu
hakunaga cha bure duniani
 
- Wacha hizo Mshindani wake Mnigeria aliporudi kwao kuna Mfanyabiashara aliyempa zawadi ya pesa zaidi ya zile za zawadi ya ushindi so sio ajabu soma vizuri maneno aliyoandika mwenyewe Idris na aliyoyasema Ghalib mwenyewe

Le Mutuz

kwa hiyo mtu akiamua akupe kitu unakubali tu? yule wanaija, hakuwa amepata kitu ujue hilo....
 
Mbona amepewa land na mapesa mengine na Rais Jakaya Kikwete,hamkusema lolote...huyu aliyempa nyumba ndio mnaropoka 😂😂😂😂😂...Idris,you are one lucky bast*ard,and I will love to marry YOU!!!

Hahahahahahahahahahaha kampelekee papuchi hiyo!!!!
 
Nilichogundua kitu ni kuwa Watanzania ni wazuri kuwashauri wenzao jinsi ya kutumia mali na pesa ilhali wao kuzitafuta mali kama hizo wameshindwa

Mfano leo C.T.U nikiwa na one billion kutatokea watu mbalimbali wakunishauri jinsi ya kutumia hizo one billioni

Japokuwa kati yao hakuna hata mmoja anayeweza kutafuta one billioni niliyoipata

So strange..
 
Mbona hata kampuni za consultation hawayafanyii wao mawazo yao?

Kuna watu hawana mitaji ila kichwani wapo vizuri.
 
Amejitahidi;
Ila pesa ikimwishia itabidi tu aiuze,
hizo nyumba huwezi kuishi kama hujiwezi.
 
Amejitahidi;
Ila pesa ikimwishia itabidi tu aiuze,
hizo nyumba huwezi kuishi kama hujiwezi.

Kununuwa nyumba ni jambo lingine na kuimantain nyumba ni jambo lingine zaidi, hiyo nyumba inahitaji wafanyakazi si chini ya wawili uwe unawalipa mshahara na mengine ambayo mtu aliyezoea maisha ya chumba na valanda hawezi kuyajuwa.
 
Back
Top Bottom