Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Dogo ataishiwa hapo hapo,
Nyumba haina hata fensi,
Inabidi akomae hasa.
Nyumba haina hata fensi,
Inabidi akomae hasa.
Kununuwa nyumba ni jambo lingine na kuimantain nyumba ni jambo lingine zaidi, hiyo nyumba inahitaji wafanyakazi si chini ya wawili uwe unawalipa mshahara na mengine ambayo mtu aliyezoea maisha ya chumba na valanda hawezi kuyajuwa.