Mshindi wa Big Brother Hotshots Idris Sultan Anunua nyumba ya kifahari

Mshindi wa Big Brother Hotshots Idris Sultan Anunua nyumba ya kifahari

Hapo ni msikitini embu angalieni hiyo picha kwa mara nyingine.
 
Hebu ngoja kwanza, nyumba ipi... alipewa au alinunua?

Ingekuwa vema maandiko yawe yanafutika aisee, ona sasa!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Wema Sepetu anawaangalia tu halafu anasema hiiiiii..(in Magu's voice)
 
Wema Sepitu anajua kuwakamata, halafu sijui huwaga nawapa nini mpaka wanapagawa.
 
Back
Top Bottom