Kununuwa nyumba ni jambo lingine na kuimantain nyumba ni jambo lingine zaidi, hiyo nyumba inahitaji wafanyakazi si chini ya wawili uwe unawalipa mshahara na mengine ambayo mtu aliyezoea maisha ya chumba na valanda hawezi kuyajuwa.
I bet the price he paid 4 this one he could have built himself a better house with his own plan.
Mbona hata kampuni za consultation hawayafanyii wao mawazo yao?
Kuna watu hawana mitaji ila kichwani wapo vizuri.
kwa nini aisende nje ya jiji kununua plot na kujenga town house kama nne hivi..za kawaida kwa kutumia contractors then nyingine anapangisha then na miradi ya hapa na pale..ila hongera sana..huyu chalii yupo positive na ana uelewa mkubwa sana
I bet the price he paid 4 this one he could have built himself a better house with his own plan.
Huko ni kupangiana maisha sasa. Hukovnje ya mji kwanini usiende wewe?
Kasema amepewa
Safi sana,ila mjengo kama haupo prime area vile,nyuma naona kama uswahilini au macho yangu? usikute kapigwa hadi 400m huo mjengo,angejenga yake,naona kama imechoka choka.
Afadhal kanunua nyumba kuliko kupanga, ,huyu yupo tofauti na wengineeee
Kununuwa nyumba ni jambo lingine na kuimantain nyumba ni jambo lingine zaidi, hiyo nyumba inahitaji wafanyakazi si chini ya wawili uwe unawalipa mshahara na mengine ambayo mtu aliyezoea maisha ya chumba na valanda hawezi kuyajuwa.
Pangisha nyumba hiyo uwe unakula dola 2000 kwa mwezi,kisha uchukue hiyo hela na wewe ukapange mbezi beach kwa laki 5 kwa mwezi,hiyo 3m unakula maisha na msouth au lulu kanumba.
eti kagewa na mwanaume mwenzie.....
Ina maana ni idris pekee ndio amewahi kushinda mjengoni mbona wengine hawajapewa hata karobo heka au kwa vile ni idris
Cool The thing is sina uwezo wa kujenga my dream house kwa sasa, nitafikiria kujenga nikifika umri wa miaka 25. Sitaki kujenga nyumba ambayo baadae ntatamani kuibomoa. Kiufupi quality ya hii nyumba ninayoishi siwezi kuijenga kwa sasa. Hii ni nyumba ambayo Idris Sultan aliishi baada ya kutoka SA alivyoshinda BBA. Same house!!
sasa hivi anaendesha nini?Apart from the house, jamaa ana million 500 bank anaendesha Verosa, duh!!!