Mshindi wa redds miss Tanzania ni Happiness Matimanywa toka Dodoma

Hongera zao jamani.
Zawadi Mil 8 na tugari twa Mil 15 au uzushi?
 
Miss ata kiswahili hajui vizuri,na yuko very proud na hali hyo!kwel tz ni zaid ya uijuavyo
 
ana bonge la komo, sura kama tambara, ametoa kitu kapata kitu

Wewe umemkosea sana mola wako yapaswa kuomba msamaha hakika yeye ni muumba wa kila kitu....unadirikije kukosoa uumbaji wake wakati yeye ndo aliyekupa pumzi
 
Wewe umemkosea sana mola wako yapaswa kuomba msamaha hakika yeye ni muumba wa kila kitu....unadirikije kukosoa uumbaji wake wakati yeye ndo aliyekupa pumzi

wanasemaje znz? una nzuri sana we mdada, hakika wewe ni mzuri sana!
 
kichwani yupo vizuri ana uelewa mkubwa ila sura ni changamoto kwakweli
 
usiogope
utaweza unapata mafunzo kwanza ya ki-modo modo, then unafuzu
na wewe ukiwa miss tz lazima utakuwa miss woldiπŸ™‚

Hahaahhahahaha wewe nawe utakuja kunisimanga kama ulivomsimanga Happiness apa maskin mtoto wa watu mana hakuna alie mkamilifu
 
Hahaahhahahaha wewe nawe utakuja kunisimanga kama ulivomsimanga Happiness apa maskin mtoto wa watu mana hakuna alie mkamilifu

kwa uzuri wote huo nikikusimanga nitakuwa nina langu jamboπŸ™‚
lbd utakuwa umenikataa:teeth:
 
usiogope
utaweza unapata mafunzo kwanza ya ki-modo modo, then unafuzu
na wewe ukiwa miss tz lazima utakuwa miss woldiπŸ™‚

Acha kumpa mwenzako sifa za kijinga. Kigezo cha miss si weupe wa sura. Wewe sema umempenda uyo binti uko unazunguka zunguka na porojo kibao.lazima utapigwa kibuti tu ata usijaribu kumtongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…