Mshindi wa redds miss Tanzania ni Happiness Matimanywa toka Dodoma

Mshindi wa redds miss Tanzania ni Happiness Matimanywa toka Dodoma

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Mshindi wa redds miss Tanzania 2013 ametangazwa muda huu ni Happiness Watimanywa toka Dodoma

miss3.jpg

miss2.JPG

miss1.JPG
 
Hongera zao jamani.
Zawadi Mil 8 na tugari twa Mil 15 au uzushi?
 
Miss ata kiswahili hajui vizuri,na yuko very proud na hali hyo!kwel tz ni zaid ya uijuavyo
 
ana bonge la komo, sura kama tambara, ametoa kitu kapata kitu

Wewe umemkosea sana mola wako yapaswa kuomba msamaha hakika yeye ni muumba wa kila kitu....unadirikije kukosoa uumbaji wake wakati yeye ndo aliyekupa pumzi
 
Wewe umemkosea sana mola wako yapaswa kuomba msamaha hakika yeye ni muumba wa kila kitu....unadirikije kukosoa uumbaji wake wakati yeye ndo aliyekupa pumzi

wanasemaje znz? una nzuri sana we mdada, hakika wewe ni mzuri sana!
 
kichwani yupo vizuri ana uelewa mkubwa ila sura ni changamoto kwakweli
 
usiogope
utaweza unapata mafunzo kwanza ya ki-modo modo, then unafuzu
na wewe ukiwa miss tz lazima utakuwa miss woldi🙂

Hahaahhahahaha wewe nawe utakuja kunisimanga kama ulivomsimanga Happiness apa maskin mtoto wa watu mana hakuna alie mkamilifu
 
Hahaahhahahaha wewe nawe utakuja kunisimanga kama ulivomsimanga Happiness apa maskin mtoto wa watu mana hakuna alie mkamilifu

kwa uzuri wote huo nikikusimanga nitakuwa nina langu jambo🙂
lbd utakuwa umenikataa:teeth:
 
usiogope
utaweza unapata mafunzo kwanza ya ki-modo modo, then unafuzu
na wewe ukiwa miss tz lazima utakuwa miss woldi🙂

Acha kumpa mwenzako sifa za kijinga. Kigezo cha miss si weupe wa sura. Wewe sema umempenda uyo binti uko unazunguka zunguka na porojo kibao.lazima utapigwa kibuti tu ata usijaribu kumtongoza
 
Back
Top Bottom