Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inamaana mshndi wa BSS epic anachukua mkwanja zaidi ya miss tzHongera zao jamani.
Zawadi Mil 8 na tugari twa Mil 15 au uzushi?
ana bonge la komo, sura kama tambara, ametoa kitu kapata kituKashagongwa sana mpaka anakuja kupata hilo gari
ana bonge la komo, sura kama tambara, ametoa kitu kapata kitu
Wewe umemkosea sana mola wako yapaswa kuomba msamaha hakika yeye ni muumba wa kila kitu....unadirikije kukosoa uumbaji wake wakati yeye ndo aliyekupa pumzi
wanasemaje znz? una nzuri sana we mdada, hakika wewe ni mzuri sana!
teh teh ana sura ngumu sanakichwani yupo vizuri ana uelewa mkubwa ila sura ni changamoto kwakweli
umiss wewe utapita bila kupingwa,
lini unakuja Dar wangu kisura
usiogopeHahahaahha siwezi hiyo kitu
usiogope
utaweza unapata mafunzo kwanza ya ki-modo modo, then unafuzu
na wewe ukiwa miss tz lazima utakuwa miss woldi🙂
Hahaahhahahaha wewe nawe utakuja kunisimanga kama ulivomsimanga Happiness apa maskin mtoto wa watu mana hakuna alie mkamilifu
ana bonge la komo, sura kama tambara, ametoa kitu kapata kitu
teh teh ana sura ngumu sana
cc Radhia Sweety
usiogope
utaweza unapata mafunzo kwanza ya ki-modo modo, then unafuzu
na wewe ukiwa miss tz lazima utakuwa miss woldi🙂
wanasemaje znz? una nzuri sana we mdada, hakika wewe ni mzuri sana!