gango2
JF-Expert Member
- Aug 31, 2011
- 1,956
- 2,274
Habari wanabodi
Pasi na shaka, wapenda kabumbu wengi wanamfahamu au wamewahi kulisikia hili jina Dr Msindo Msolla na kwa mashabiki wa klabu ya Yanga au Simba wana mjua kama Mwenyekiti wa Club ya Yanga. Pia naamini kuna wengi sana hawamjui kiongozi wa juu kabisa wa Club ya Yanga kuwa ni Dr Mshindo Msolla, wakidhani Senzo ndio kiongozi wa juu. Hii inatokana na "system" ya uongozi ya club ya Yanga kwa sasa ambapo Mwenyekiti alimteua Mtendaji mkuu anayesimamia utendaji wa Club.
Huwezi kuyataja mafanikio ya sasa ya Yanga kwenye hili la mabadiliko bila kumtaja Dr Msola, Vitu vingi vinavyoendelea nyuma ya haya mapinduzi pamoja ya kwamba Senzo ndio muongozaji lakini nyuma yake yupo Dr Msolla. Lazima Watanzania tujivunie idea hii ambayo Dr Msola ameisimamia kwa weledi mkubwa ikienda bila matatizo.
kulikuwa na posibility kubwa mbili katika mchakato huu, either Yanga ikubali mabadilika yaende smooth huku uwanjani wasiwe vizuri au kiwanjani wawe vizuri mabadiliko yasuesue, hii inatokana na risilimali zitakazokuwepo. Lakini Dr Msolla amekuwa very smart kubalance vyote viwili. Pamoja na kwamba GSM walikuwepo lakini usimamili wa rasilimali ni kitu cha muhimu sana na club ya Yanga kupitia msola wameweza kabisa. Sasa klabu ya Yanga wamefanikiwa yote mawili kwa pamoja, binafsi naweza sema kwa asilimia 80%+
Kwa wale wasiomfahamu Dr. Msolla nje ya Soka pia ni mtaalamu sana wa kilimo!
Dk Msolla alikuwa Mkurugenzi Wizara ya Kilimo, Mwenyekiti wa Mamlaka ya Uthibiti wa Mbolea Tanzania, Mjumbe wa Bodi ya Pamba Tanzania, Mjumbe wa Bodi ya Wakulima Wadogo wa Chai Tanzania, Mshauri wa Kilimo wa Shirika la Maendeleo ya Denmark (DANIDA), Meneja wa Tanzania wa Shirika Lisilo la Kiserikali la African Fertilizer and Agribusiness Partnership (AFAP), Pia nafikiri kwa sasa ndie mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya OCP ya Morocco
Pamoja na Senzo kuwa kinara wa mabadiliko Yanga, lakini nyuma ya yote yupo Dr Mshindo Msolla. Binafsi naona ni moja ya wanamichezo wenye upeo wa juu kabisa kwenye mabadiliko ya soka binafsi naamini kwa nafasi kama Rais wa TFF inamfaa sana.