Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Hata hao raia wa nje utawakuta wanashabikia Simba au Yanga, na mara nyingi Simba... hakuna mtu wa mpira tanzania hii ambaye si shabiki wa either Simba Sc au Yanga. Labda mjaribu kuleta watu kutoka nje ya nchi.