Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
- Thread starter
-
- #61
so hamlali mnasubiri kuona wanavyogegedana? watu wanaishi maisha yao nyie macho kodo...
Waingereza ndio wanapenda ngono ila kwenye Big brother yao huwa wanajistahi. Sikatai inaweza tokea mara moja moja sio hawa ndugu zangu kila kukicha unasikia huyu kalala na huyuIpo sana....tena wale ndo balaa zaidi...
Mfumo 'Dume'...mwaka jana sijui alivyokamuliwa Bhoke tulikasirika hapa tukamuita malaya, anatuaibisha, mpaka Bungeni wakasema hawatambui ushirikiwa waTanzania kwenye Big Brother...leo kashiriki mwanaume, kakamua..tunaona 'ushujaa'! Kaka akikamua ni ushujaa..dada akikamuliwa ni dhihaka!
kwani show kazi yake nini si kutizama!!!!!
kuna show gani sasa hapo coz they just live their life labda tofauti wanafugwa kama nguruwe kwenye lile jumba
Hii inatuonyesha Waafrica tunavyoendekeza ngono sijawahi kusikia au hata kama imetokea one off katika big brother UK
Waingereza ndio wanapenda ngono ila kwenye Big brother yao huwa wanajistahi. Sikatai inaweza tokea mara moja moja sio hawa ndugu zangu kila kukicha unasikia huyu kalala na huyu
Wema ndo wangekamua housemates wote mchana na usiku.
Hivi Huko BBA ngono huwa ni lazima ??dah
jamani next time wawe wanawapima viwango vya nyege. wenye nyege nyingi wasiende hukoooo.
Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhh.!!! Kazi ipooo:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
kuna kipimo cha kupimia nyege!!!!!
dah aisee hii kali amesemaje?
hajaniambia,
na wewe unataka kujipina nini!!!!!
ntaanza vipi ndugu angu kujipima
kwani wengine walianzaje!!!!!!
kama hao hao tu
basi we nipimie kwanza alafu nikishajifunza toka kwako ntakupimia zaidi.
Shoo za wanuka vikwapa utazijua tu. Hamna la maaa zaidi ya kusubiri kuona nani atamegana na nani. Ndiyo maana mko maskini na mafukara.