Mshituko: Mbowe aongoza mashambulizi ya kuvunja katiba ya chama!

Kweli kabisa
 
Hakuna mwanasiasa mjanja mjanja kama mbowe kwenye pesa hapa Tanzania. Hakuna, jamaa ni pure Chagga. Tusubir kuzungusha mikono 2020
 
Ukikosa madini ya kalishamu mwilini hata fuvu linalohifadhi ubongo huathiri ubongo

Kweli wewe eli-matege
 
Reactions: BAK
Mmeshamalizana na akina Makamba & Kinana??
 
Reactions: BAK
Maliza kwanza matibabu yako ili uweze kuwasemea wenye afya njema ya akili.
Watakuambia oh sijui tuna kesi mahakamani kwa hiyo hatuwezi kufanya uchaguzi. Yaani akina Mbowe wanaomba hiyo kesi isiishe ili kusudi wanyooshe mambo yao. Ha ha ha. Kufa kufaana.
 
Reactions: BAK
Mshtuko uko wapi sasa?Mbona sijashtuka?
 
Reactions: BAK
Wasira alisema chadema imekufa. Chama kilichokufa kinafanyaje uchaguzi?

Hizi harakati hebu zielekeze TLP, CHAUMMA, NCCR, NRA, UDP, CUF hivyo bado havijafa wanaweza kukusikia kilio chako
 
Unamuwaza mbowe
Mpaka unashindwa kumjaza mkeo hamia kwake basi tujue moja
 
Wasira alisema chadema imekufa. Chama kilichokufa kinafanyaje uchaguzi?

Hizi harakati hebu zielekeze TLP, CHAUMMA, NCCR, NRA, UDP, CUF hivyo bado havijafa wanaweza kukusikia kilio chako
Katiba ya chadema ndiyo inasema hivi?
 
Katiba ya chadema ndiyo inasema hivi?
Nanukuu maneno ya makada wa ccm kama wewe ambao mmehubiri miaka nenda rudi kuwa chadema imekufa. Kama imekufa mnataka wafanye uchaguzi wa nn?
 
Mwambie kabugi atuonyeshe alipomzika Azory Gwanda
 
Huo uchaguzi una maslahi nao? au unahusika kwa namna yoyote? Pole sana mkuu dai haki yako na timiza wajibu wako
 

Aliyeshtuka ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…