Mshituko: Mbowe aongoza mashambulizi ya kuvunja katiba ya chama!

Jibu hoja
Mtoto jicho hilo!!
tapatalk_1558852214951.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kumbuka yeye ndo kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni KUB, hapo ana mshahara, yeye pia ni mbunge ana mshahara na posho, kumbuka pia ni mwenyekiti wa chama ana mshahara na posho pia. Kila mwez ana uhakika wa 30 millions kama mishahara na posho. Unataka aitishe mkutano ili iwaje? Nani achukue huo uenyekiti? mdude? Lissu au nani?
Kumbuka chama kina ruzuku ya million 300 kila mwezi na mwenyekiti anasimamia masuala yote ya kiutendaji, unafikiri pesa zinaenda wapi kama ofisi kuu ndo ile? Cheo kitamu jamani
 
Hahaha umewachana ukweli mkuu
 
Tangu mwezi wa tatu mwaka huu wa 2019 , ambao tuliambiwa kwamba Chadema itafanya uchaguzi wake MKUU wa kuchagua viongozi wa kitaifa .

Taarifa iliyowahi kutolewa na afisa habari wa chama hichi ndg tumanini makene mnamo mwezi wa agosti mwaka 2018 ilisema kwamba Chadema ingefanya uchaguzi huo mapema mwezi wa 3 mwaka huu wa 2019.

Ni miezi mitatu sasa imeshapita tangu muda huo uliopangwa upite na hatujaona dalili ya kufanyika kwa uchaguzi huo na wala hamana taarifa yoyote iliyotolewa mpaka sasa.Kwa jinsi hali ilivyo na ratiba zilivyokaa mpaka sasahaitowezekana tena kwa chama hicho kufanya uchaguzi huo mkuu kwa sababu mwezi unaokuja wa Julai pilika pilika pilika za uchaguzi wa serikali za mitaa zinaanza.

Tukumbuke uchaguzi huo usipofanyika mwaka huuitakua in uvunjwaji wa katiba ya chama hicho.Sababu haswa ya kutofanyika haijawekwa waz,i lakini wadadisi wa mambo wanasema hazina kuu ya chama hicho imekauka fedha za ruzuku zimechotwa na wajanja wameenda kufungua mahotel ndani na nje ya nchi.

Kama ni mbinu ya Mbowe ya kuchelewesha kufanyika uchaguzi huo mpaka sasa basi atakua amefanikwa kuwa Mwenyekiti wa milele asiyepingwa aliyetawala kwa zaidi ya miaka 20 peke yake.Tukumbuke kwamba ratiba ya uchaguzi ilikua ni mwezi wa 3/2019 ndio kipindi amabachoMbowe alifanya sinema nyingi za kuwatoa wafuasi wa chadema kwenye reli kwa kujisababishia kesi nyingi zisizo na kichwa wala miguu kama vile kuruka dhamana na kwenda kutumbua fedha za ruzuku ughaibuni.
CHADEMA UCHAGUZI LINI?
Wewe Elitwege shuhgulika mambo yenu ya Lumumba. Pilipili usiyokula inakuwashani? Haya ya CHADEMA tuachie sisi. siku ikifika uchaguzi utafanyika. Tuna imani na Mbowe. Mbowe oyeee!
 
Wanachama wanajua. Kwani wewe ni mwanachama, kadi namba ngapi mkuu? au ni wale wapumbavu ambao wanashughulikana mambo ya wenyewe?

Back
Top Bottom