Mshituko: Mbowe aongoza mashambulizi ya kuvunja katiba ya chama!

Mshituko: Mbowe aongoza mashambulizi ya kuvunja katiba ya chama!

Watakuambia oh sijui tuna kesi mahakamani kwa hiyo hatuwezi kufanya uchaguzi. Yaani akina Mbowe wanaomba hiyo kesi isiishe ili kusudi wanyooshe mambo yao. Ha ha ha. Kufa kufaana
ACHA UMBEA MTOTO WA KIKE YA KWENU YAMEWASHINDA YA JIRANI MTAYAWEZA? NDO MAANA HAMUOLEWI
 
Ccm mnapata tabu sana na chadema [emoji23][emoji23][emoji23]
 
MBOWE NA CHADEMA HAWATAKUSAIDIA KUMALIZA TATIZO LAKO LA AKILI
Kweli kabisa mkuu ni sawa na hili kwamba Magufuli na CCM hawatawasaidia baadhi kuondokana na tatizo lao la kujiona wanajua kila kitu kumbe ni wenye matatizo makubwa ya akili!
 
Wewe na nyumbu zingine deal na huyo, sisi lumumba wacha tudeal na mbowe, usitupangie.
Kumbe unamkubali Mh. Mbowe! 😂
Ila Maamuzi ya nani awe Mwenyekiti ni ya Wanachadema wenyewe, wewe deal na Mwenyekiti Wako.
 
Iyo ni saccos sio chama.
huo nsio ukweli mengine yooote ni mbwembwe tu.. mkitaka kukopa magari, mitaji ya biashara, uwezeshwaji na hata cheo cha masharti ya kudumu we waone hawa jamaa
 
Kuna viongozi wanapita kwa kuchaguluwa, kuna wanaopita bila kupingwa, Mhe. Mbowe ashapita bila hata uchaguzi.
 
Mauaji ya chacha wangwe hayawezi kuchuja mpaka haki ipatikane
Unazidi kuidhalilisha serikali ya ccm we nunda!
Imeshindwa kukuona wewe uwape ushahidi yenyewe imesimama na hukumu ya dereva kuendesha kizembe na kusababisha ajali?
Kati yako na DPP lazima mmoja wapo ni Majinun.
 
Back
Top Bottom